Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

View attachment 3359827
DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija.

No Reforms No Election ni kampeni iliyoanzishwa na inayotangazwa kwenye mikutano ya CHADEMA wakitaka kuwepo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 2025.

Katika mitandao ya kijamii makundi mbalimbali yanahamasisha kupaza sauti za kampeni hiyo kwa kuchapisha ujumbe na kutoa maoni ya No Reforms, No Election pale ukurasa fulani unapokuwa umechapisha maudhui yake yoyote.

Haijalishi ni ukurasa wa nani, iwe wa vyombo vya habari, kampuni, matangazo sehemu kubwa ya maoni ni No Reforms, No Election na wengine wanafupisha kwa kuandika NRNE.

Hali hiyo imewalazimu baadhi ya viongozi kuzima sehemu ya maoni ili kujiepusha na kampeni

Kauli ya Serikali
Alipoulizwa na tovuti ya Mwananchi Communications Ltd kuhusu hatua hiyo, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amejibu "Watu wameamua kufanya hivyo, tutafanyaje," amesema.

Ingawa katika maelezo yake aliwatahadharisha wanaofanya mchezo huo akidai hauna tija na 'upuuzi' zaidi ya kupoteza muda wao.

"Watu wajiepushe na kampeni zisizokuwa na tija, watumie mitandao kama fursa ya kujifunza teknolojia mpya, wanapaswa kutambua na kujua kutumia mitandao vibaya ni kupoteza rasilimali fedha kwa kuwa wanatumia bando," amesema.

Katika maelezo yake Msigwa amesema badala ya kupoteza muda kuendesha kampeni hizo watumie nafasi hiyo wajielekeze kujenga nchi yao.

"Kinachoendelea kwenye mitandao ni upuuzi. Huu ni upuuzi unaoendelea Watanzania wajielekeze kujenga nchi yao. Huwezi kuendesha kampeni ya kuzuia Uchaguzi wakati nchi imejiwekea kalenda yake," amesema Msigwa.

Kampeni hiyo imeenda mbali zaidi kwa kumgusa hadi msanii wa Nigeria Chellaboi ambaye amekuja nchini hivi karibuni na kushangazwa na ukurasa wake kumiminika maoni yanayohusu kampeni hiyo.

Chanzo: Mwananchi
FB_IMG_1749315129316.jpg
 
Hata chadema ikiingia unategemea hakutakua na viongozi walafi! Kwanza wafuasi wenu wengi ni wakristo, na asilimia kubwa ya Tanzania ni waislamu, na wanaoipigia kura ccm wengi ni waislamu, na wengi pia ni wakristo, japo ccm wana madhaifu yao, but kikubwa amani.
We bwege kweli eti watanzania wengi waislamu google utapata jibu sio unaropoka tu humu No reform No election
 
Sawa hata unitukane, ila nitaendelea kuwa upande wa ndugu zetu waislamu, na sio upande wa makafiri wanywa damu za watoto, wamama na wazee. Nadhani umenielewa ewe dada.

Free palestine 🇵🇸
Ndugu Yako nani wewe abduli akutambui katika ukoo wao acha kujipendekeza No reform No election
 
NAona bado una kiu ya kunywa damu ya mtu! Damu ya Mzee Kibao haikutosha kukata kiu yako!?
Wewe umejuaje mzee kibao kauawa na ssh???? Je, ikiwa kuna chama flani limefanya hivyo ili kumchafua huyu mama!! Ulishawahi kufikiria hilo!!

Free palestine 🇵🇸
 
Wametepeta CCM Wanaona Miti Yote Inateleza
 
Wewe naye free Palenyoko si uende hukohuko Israel akakutwange. Nilikuwa nawaonea huruma Palestine ila nimeona ni ujinga, hasa watu kama wewe uko kidini, wanaotaka reforms nawewe unayetaka Taifa huru la Palestine mna tofauti gani acha unafiki kwanza. Usiangalie kwa macho ya tinted.
Anatutishia huku akishindwa kwenda kuwasaidia Palestina huko. Pumbavu sana huyu jamaa .
 
Wewe umejuaje mzee kibao kauawa na ssh???? Je, ikiwa kuna chama flani limefanya hivyo ili kumchafua huyu mama!! Ulishawahi kufikiria hilo!!

Free palestine 🇵🇸
***** wewe unashobokea waarabu wakati wewe unafanana na nyani eti Palestine hawanaga shobo na majitu meusi
 
View attachment 3359827
DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija.

No Reforms No Election ni kampeni iliyoanzishwa na inayotangazwa kwenye mikutano ya CHADEMA wakitaka kuwepo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 2025.

Katika mitandao ya kijamii makundi mbalimbali yanahamasisha kupaza sauti za kampeni hiyo kwa kuchapisha ujumbe na kutoa maoni ya No Reforms, No Election pale ukurasa fulani unapokuwa umechapisha maudhui yake yoyote.

Haijalishi ni ukurasa wa nani, iwe wa vyombo vya habari, kampuni, matangazo sehemu kubwa ya maoni ni No Reforms, No Election na wengine wanafupisha kwa kuandika NRNE.

Hali hiyo imewalazimu baadhi ya viongozi kuzima sehemu ya maoni ili kujiepusha na kampeni

Kauli ya Serikali
Alipoulizwa na tovuti ya Mwananchi Communications Ltd kuhusu hatua hiyo, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amejibu "Watu wameamua kufanya hivyo, tutafanyaje," amesema.

Ingawa katika maelezo yake aliwatahadharisha wanaofanya mchezo huo akidai hauna tija na 'upuuzi' zaidi ya kupoteza muda wao.

"Watu wajiepushe na kampeni zisizokuwa na tija, watumie mitandao kama fursa ya kujifunza teknolojia mpya, wanapaswa kutambua na kujua kutumia mitandao vibaya ni kupoteza rasilimali fedha kwa kuwa wanatumia bando," amesema.

Katika maelezo yake Msigwa amesema badala ya kupoteza muda kuendesha kampeni hizo watumie nafasi hiyo wajielekeze kujenga nchi yao.

"Kinachoendelea kwenye mitandao ni upuuzi. Huu ni upuuzi unaoendelea Watanzania wajielekeze kujenga nchi yao. Huwezi kuendesha kampeni ya kuzuia Uchaguzi wakati nchi imejiwekea kalenda yake," amesema Msigwa.

Kampeni hiyo imeenda mbali zaidi kwa kumgusa hadi msanii wa Nigeria Chellaboi ambaye amekuja nchini hivi karibuni na kushangazwa na ukurasa wake kumiminika maoni yanayohusu kampeni hiyo.

Chanzo: Mwananchi
Mbona hawa wanajifanya kujizima data namna hii?

NRNE siyo kuzuia uchaguzi, ni kufanya mabadiliko katika sheria za uchaguzi, ili uchaguzi uwe huru na haki.

Cdm hawajasema kususia uchaguzi, mbona Serikali inataka kuipeleka nchi kwenye umwagaji wa damu usio na ulazima kwa kupotosha kwa makusudi maudhui ya kampeni ya NRNE?

Wasomi wooote waliopo Serikalini wameshindwa kutafsiri mantiki ya NRNE na kujenga hoja ya kumshauri Rais ukweli pamoja na kumweleza njia iliyo sahihi kuliokoa taifa letu lisiingie katika mabalaa yasiyokuwa na ulazima?
 
Mi mwenyewe sijui nina umaarufu gani, kwenye page yangu wameweka NO REFORM NO ELECTION nyingi sana!
 
Hata chadema ikiingia unategemea hakutakua na viongozi walafi! Kwanza wafuasi wenu wengi ni wakristo, na asilimia kubwa ya Tanzania ni waislamu, na wanaoipigia kura ccm wengi ni waislamu, na wengi pia ni wakristo, japo ccm wana madhaifu yao, but kikubwa amani.
Kumbe wewe mpumbavu umekuja kuhubiri dini! Sasa yule Mwislamu mwenzako Mzee Kibao alikukosea nini mpaka ukaamua kumuua!?
 
View attachment 3359827
DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija.

No Reforms No Election ni kampeni iliyoanzishwa na inayotangazwa kwenye mikutano ya CHADEMA wakitaka kuwepo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 2025.

Katika mitandao ya kijamii makundi mbalimbali yanahamasisha kupaza sauti za kampeni hiyo kwa kuchapisha ujumbe na kutoa maoni ya No Reforms, No Election pale ukurasa fulani unapokuwa umechapisha maudhui yake yoyote.

Haijalishi ni ukurasa wa nani, iwe wa vyombo vya habari, kampuni, matangazo sehemu kubwa ya maoni ni No Reforms, No Election na wengine wanafupisha kwa kuandika NRNE.

Hali hiyo imewalazimu baadhi ya viongozi kuzima sehemu ya maoni ili kujiepusha na kampeni

Kauli ya Serikali
Alipoulizwa na tovuti ya Mwananchi Communications Ltd kuhusu hatua hiyo, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amejibu "Watu wameamua kufanya hivyo, tutafanyaje," amesema.

Ingawa katika maelezo yake aliwatahadharisha wanaofanya mchezo huo akidai hauna tija na 'upuuzi' zaidi ya kupoteza muda wao.

"Watu wajiepushe na kampeni zisizokuwa na tija, watumie mitandao kama fursa ya kujifunza teknolojia mpya, wanapaswa kutambua na kujua kutumia mitandao vibaya ni kupoteza rasilimali fedha kwa kuwa wanatumia bando," amesema.

Katika maelezo yake Msigwa amesema badala ya kupoteza muda kuendesha kampeni hizo watumie nafasi hiyo wajielekeze kujenga nchi yao.

"Kinachoendelea kwenye mitandao ni upuuzi. Huu ni upuuzi unaoendelea Watanzania wajielekeze kujenga nchi yao. Huwezi kuendesha kampeni ya kuzuia Uchaguzi wakati nchi imejiwekea kalenda yake," amesema Msigwa.

Kampeni hiyo imeenda mbali zaidi kwa kumgusa hadi msanii wa Nigeria Chellaboi ambaye amekuja nchini hivi karibuni na kushangazwa na ukurasa wake kumiminika maoni yanayohusu kampeni hiyo.

Chanzo: Mwananchi
NO REFORMS NO ELECTION
 
Back
Top Bottom