Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,268
- 5,815
No Reform no ElectionHao wapumbavu wa chadema na Gwajima

Hao wapumbavu wa chadema na GwajimaMpumbavu mama yako.
Yeye hajui maumivu ana hakiView attachment 3359827
DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija.
No Reforms No Election ni kampeni iliyoanzishwa na inayotangazwa kwenye mikutano ya CHADEMA wakitaka kuwepo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 2025.
Katika mitandao ya kijamii makundi mbalimbali yanahamasisha kupaza sauti za kampeni hiyo kwa kuchapisha ujumbe na kutoa maoni ya No Reforms, No Election pale ukurasa fulani unapokuwa umechapisha maudhui yake yoyote.
Haijalishi ni ukurasa wa nani, iwe wa vyombo vya habari, kampuni, matangazo sehemu kubwa ya maoni ni No Reforms, No Election na wengine wanafupisha kwa kuandika NRNE.
Hali hiyo imewalazimu baadhi ya viongozi kuzima sehemu ya maoni ili kujiepusha na kampeni
Kauli ya Serikali
Alipoulizwa na tovuti ya Mwananchi Communications Ltd kuhusu hatua hiyo, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amejibu "Watu wameamua kufanya hivyo, tutafanyaje," amesema.
Ingawa katika maelezo yake aliwatahadharisha wanaofanya mchezo huo akidai hauna tija na 'upuuzi' zaidi ya kupoteza muda wao.
"Watu wajiepushe na kampeni zisizokuwa na tija, watumie mitandao kama fursa ya kujifunza teknolojia mpya, wanapaswa kutambua na kujua kutumia mitandao vibaya ni kupoteza rasilimali fedha kwa kuwa wanatumia bando," amesema.
Katika maelezo yake Msigwa amesema badala ya kupoteza muda kuendesha kampeni hizo watumie nafasi hiyo wajielekeze kujenga nchi yao.
"Kinachoendelea kwenye mitandao ni upuuzi. Huu ni upuuzi unaoendelea Watanzania wajielekeze kujenga nchi yao. Huwezi kuendesha kampeni ya kuzuia Uchaguzi wakati nchi imejiwekea kalenda yake," amesema Msigwa.
Kampeni hiyo imeenda mbali zaidi kwa kumgusa hadi msanii wa Nigeria Chellaboi ambaye amekuja nchini hivi karibuni na kushangazwa na ukurasa wake kumiminika maoni yanayohusu kampeni hiyo.
Chanzo: Mwananchi
NO REFORMS NO ELECTIONView attachment 3359827

NRNENRNE
Najitahidi kukuondolea ujinga na upumbavu, lakini naona kwako uko kwenye damuWewe kinembe mbona unapenda kuniquote kama roboti?
Sasa tutaona kama kutakuwa na huo uchaguzi hiyo October.
😁😁😁 nimecheka sanaWewe kinembe mbona unapenda kuniquote kama roboti?
Sasa tutaona kama kutakuwa na huo uchaguzi hiyo October.
Una akili timamu?NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
NO REFORMS , NO ELECTION.
Wanaposema kumaliza kipato Kwa kutumika bando ,mbona uwa wanapost mitandaoni Ili nani aone?View attachment 3359827
DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija.
No Reforms No Election ni kampeni iliyoanzishwa na inayotangazwa kwenye mikutano ya CHADEMA wakitaka kuwepo mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 2025.
Katika mitandao ya kijamii makundi mbalimbali yanahamasisha kupaza sauti za kampeni hiyo kwa kuchapisha ujumbe na kutoa maoni ya No Reforms, No Election pale ukurasa fulani unapokuwa umechapisha maudhui yake yoyote.
Haijalishi ni ukurasa wa nani, iwe wa vyombo vya habari, kampuni, matangazo sehemu kubwa ya maoni ni No Reforms, No Election na wengine wanafupisha kwa kuandika NRNE.
Hali hiyo imewalazimu baadhi ya viongozi kuzima sehemu ya maoni ili kujiepusha na kampeni
Kauli ya Serikali
Alipoulizwa na tovuti ya Mwananchi Communications Ltd kuhusu hatua hiyo, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amejibu "Watu wameamua kufanya hivyo, tutafanyaje," amesema.
Ingawa katika maelezo yake aliwatahadharisha wanaofanya mchezo huo akidai hauna tija na 'upuuzi' zaidi ya kupoteza muda wao.
"Watu wajiepushe na kampeni zisizokuwa na tija, watumie mitandao kama fursa ya kujifunza teknolojia mpya, wanapaswa kutambua na kujua kutumia mitandao vibaya ni kupoteza rasilimali fedha kwa kuwa wanatumia bando," amesema.
Katika maelezo yake Msigwa amesema badala ya kupoteza muda kuendesha kampeni hizo watumie nafasi hiyo wajielekeze kujenga nchi yao.
"Kinachoendelea kwenye mitandao ni upuuzi. Huu ni upuuzi unaoendelea Watanzania wajielekeze kujenga nchi yao. Huwezi kuendesha kampeni ya kuzuia Uchaguzi wakati nchi imejiwekea kalenda yake," amesema Msigwa.
Kampeni hiyo imeenda mbali zaidi kwa kumgusa hadi msanii wa Nigeria Chellaboi ambaye amekuja nchini hivi karibuni na kushangazwa na ukurasa wake kumiminika maoni yanayohusu kampeni hiyo.
Chanzo: Mwananchi
#NRNENRNE
Wewe mdini sana, kafiri mwenyewe tena wewe ni lile limjusi kafiri. Hao waislamu pia mimi ni ndugu zangu. Nina ndugu waislamu. Nilikuwa nawatetea Wapalestina sababu napenda haki, ila wewe ni udini tu huna ubinadamu.
Hakuna atakae zuia uchaguzi.
Uchaguzi upo kama ulivyo pangwa, hao ni wapenda udaku tu.
Koroga sumu unywe kama kampeni inakukera! NRNE