LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
unaropoka mtoto hujui siasa tulia ukueHao wapumbavu wa chadema na Gwajima
unaropoka mtoto hujui siasa tulia ukueHao wapumbavu wa chadema na Gwajima
pumbavuNo mdindisho no kutomber
No reform no electionWana masikio wala hawasikii, wana macho lakini hawaoni. Ndo walipofikia viongozi wa TZ
Huyo jamaa kishavuka level ya vitisho vya kipumbavu kama hivyo unavyomletea, jiangalie vizuriTuanze, wewe na nani? Chadema wenzio? Bora tulia ulee familia, otherwise yatakayokukuta usije ukalia humu
Sasa kama ni mpuuzi unataka uitweje?😂😁Walituita Kenge saivi wanatuita Wapuuzi
No reform no electionWanakera sana na hiyo no reform, hii jeuri ya reform tunaiona mtandaoni tu ngoja oct kama utaona mtu anaweza kushindana na serikali.
No reform no electionSasa kama ni mpuuzi unataka
Shauri yako😁No reform no election
Tulia wewe kapuku Timu JiweSasa kama ni mpuuzi unataka uitweje?😂😁
Anayewapiga vita wanaopaza sauti kuhusu utekaji na uuaji, ndiye mhusika wa mauaji. Hata wewe kama unapambana na wanaopinga utekaji na uuaji, nawe pia ni muhusika wa mauaji.Allah amrehem mzee wetu, ila sinaga tabia ya kumdhania mtu.
Aliehusika na mauwaji hayo malipo atayakuta kwa Mola wake.
Huo hautakuwa uchaguzi bali uchafuzi.Sio wapuuzi tu tena ni 'HAYAWAN EL KUBRA' Halafu uchaguzi ukifanyika na viongozi wakapatikana mtatuambia nini ?
Shauri yako😁
Kwamba maoni yote huko X na Insta kayaandika yeye? Na Je, ni kosa kutoa maoni ? Watu wakibandika mabango ukiona yanakuudhi fumba macho heshimu uhuru wa maoniTuanze, wewe na nani? Chadema wenzio? Bora tulia ulee familia, otherwise yatakayokukuta usije ukalia humu
Samahani naomba kuuliza hivi kwenye Quran ulishawahi kuona watu wanaoitwa Wapalestina kama unavyoona waisraeli wameandikwa?Wewe mdini sana, kafiri mwenyewe tena wewe ni lile limjusi kafiri. Hao waislamu pia mimi ni ndugu zangu. Nina ndugu waislamu. Nilikuwa nawatetea Wapalestina sababu napenda haki, ila wewe ni udini tu huna ubinadamu.
Haya sawa😂Tulia wewe kapuku Timu Jiwe
Mimi ni Mkatoliki Mkuu, Quran sijawahi hata kuishika. Mimi ni mpenda haki tu, vile wanavyouwawa ninaona huruma kwa mateso. Huwa napenda kusimama upande wa haki tu.Samahani naomba kuuliza hivi kwenye Quran ulishawahi kuona watu wanaoitwa Wapalestina kama unavyoona waisraeli wameandikwa?
Ukipata andiko endelea kuwapigania wapalestina ila ukikosa badili msimamo
Kumbe Bantu lady ni RC mwenzangu asee!!??Mimi ni Mkatoliki Mkuu, Quran sijawahi hata kuishika. Mimi ni mpenda haki tu, vile wanavyouwawa ninaona huruma kwa mateso. Huwa napenda kusimama upande wa haki tu.