PostGE2025 Gerson Msigwa: Mama yangu mzazi yupo hai, mliochapisha hizo taarifa mkazifute

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
1764571592765.png

Mapema jana taarifa za kifo cha Anayedaiwa kuwa mama yake Msigwa
zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
​

"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha watu waende kijijini msibani wakati msiba haupo. SIO SAWA.

Wote mliochapisha taarifa ya upotoshaji kuhusu Mama yangu mzazi futeni tafadhali. Mama yupo hai na mwenye afya njema". Ameandika Msigwa.
 
Mapema jana taarifa za kifo cha mama yake Msigwa zilisambaa katika mitandao ya kijamii.

Aliyefariki nadhani alikuwa Boss wake wa TBC mbona alipost kabisa na picha yake wakiwa kwenye harusi ya girishoni.
 
Nilitamani sana ufe wewe.
 
AI kazini.
 
Thats how he is hated
 
Huyu msemaji wa Serikali kiukweli ni mtu mmoja wa hali ya Chini sana, elimu gani hiyo aliyoipata? Anajibu vitu kama mtu wa mipasho. Why not engange with big issues? Wewe ukiambiwa na watu waongo mama yako kafa basi hilo ni suala la kututangazia sisi? Wamesema uongo sasa hii ya kulumbana nao guoni inakupotezea muda? Utajibu kila kitu mitandaoni?
 
Imagine kijana unaishi kijiji kimoja na wazazi wa hawa watu!!
 
Huyu msemaji wa Serikali kiukweli ni mtu mmoja wa hali ya Chini sana, elimu gani hiyo aliyoipata? Anajibu vitu kama mtu wa mipasho. Why not engange with big issues? Wewe ukiambiwa na watu waongo mama yako kafa basi hilo ni suala la kututangazia sisi? Wamesema uongo sasa hii ya kulumbana nao guoni inakupotezea muda? Utajibu kila kitu mitandaoni?
Yeye na Popoma ni wahitimu wa SAUT school of Journalism. SAUT inazalisha waandishi majiniazi!
 
View attachment 3509823
Mapema jana taarifa za kifo cha Anayedaiwa kuwa mama yake Msigwa
zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
​

"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha watu waende kijijini msibani wakati msiba haupo. SIO SAWA.

Wote mliochapisha taarifa ya upotoshaji kuhusu Mama yangu mzazi futeni tafadhali. Mama yupo hai na mwenye afya njema". Ameandika Msigwa.
Kayataka mwenyewe kayazusha mwenyewe
 
Anatafuta 'kiki' awaambie uvccm wakazifute hizo habari
 
View attachment 3509823
Mapema jana taarifa za kifo cha Anayedaiwa kuwa mama yake Msigwa
zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
​

"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha watu waende kijijini msibani wakati msiba haupo. SIO SAWA.

Wote mliochapisha taarifa ya upotoshaji kuhusu Mama yangu mzazi futeni tafadhali. Mama yupo hai na mwenye afya njema". Ameandika Msigwa.
Mtu kusikia msiba wa mtu fulani ni kupata taharuki?

Huyo mama ana umaalumu gani hadi tangazo la msiba wake lilete taharuki?
 
View attachment 3509823
Mapema jana taarifa za kifo cha Anayedaiwa kuwa mama yake Msigwa
zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
​

"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha watu waende kijijini msibani wakati msiba haupo. SIO SAWA.

Wote mliochapisha taarifa ya upotoshaji kuhusu Mama yangu mzazi futeni tafadhali. Mama yupo hai na mwenye afya njema". Ameandika Msigwa.
Msigwa mwenyewe ndiyo mpumbavu, kwa nini uandike mama tu bila kutoa ufafanuzi? Unafikri kama angeandika boss wake watu wangeandika mama? Yote hayo ni madhara ya kujipendekeza kupita kiasi!
 
Back
Top Bottom