Aliyefariki nadhani alikuwa Boss wake wa TBC mbona alipost kabisa na picha yake wakiwa kwenye harusi ya girishoni.Mapema jana taarifa za kifo cha mama yake Msigwa zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha watu waende kijijini msibani wakati msiba haupo. SIO SAWA.
Wote mliochapisha taarifa ya upotoshaji kuhusu Mama yangu mzazi futeni tafadhali. Mama yupo hai na mwenye afya njema". Ameandika Msigwa.

Nilitamani sana ufe wewe.Mapema jana taarifa za kifo cha mama yake Msigwa zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha watu waende kijijini msibani wakati msiba haupo. SIO SAWA.
Wote mliochapisha taarifa ya upotoshaji kuhusu Mama yangu mzazi futeni tafadhali. Mama yupo hai na mwenye afya njema". Ameandika Msigwa.
Mapema jana taarifa za kifo cha mama yake Msigwa zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha watu waende kijijini msibani wakati msiba haupo. SIO SAWA.
Wote mliochapisha taarifa ya upotoshaji kuhusu Mama yangu mzazi futeni tafadhali. Mama yupo hai na mwenye afya njema". Ameandika Msigwa.
Thats how he is hatedMapema jana taarifa za kifo cha mama yake Msigwa zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha watu waende kijijini msibani wakati msiba haupo. SIO SAWA.
Wote mliochapisha taarifa ya upotoshaji kuhusu Mama yangu mzazi futeni tafadhali. Mama yupo hai na mwenye afya njema". Ameandika Msigwa.
Huyu msemaji wa Serikali kiukweli ni mtu mmoja wa hali ya Chini sana, elimu gani hiyo aliyoipata? Anajibu vitu kama mtu wa mipasho. Why not engange with big issues? Wewe ukiambiwa na watu waongo mama yako kafa basi hilo ni suala la kututangazia sisi? Wamesema uongo sasa hii ya kulumbana nao guoni inakupotezea muda? Utajibu kila kitu mitandaoni?Mapema jana taarifa za kifo cha mama yake Msigwa zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha watu waende kijijini msibani wakati msiba haupo. SIO SAWA.
Wote mliochapisha taarifa ya upotoshaji kuhusu Mama yangu mzazi futeni tafadhali. Mama yupo hai na mwenye afya njema". Ameandika Msigwa.
kwasasa taharuki ni watanganyika zaidi ya 10000 waliopoteza maishaTaharuki kisa mama yaco? Labda taharuki ya kifamilia. Kwasasa kama taifa tuna taharuki ya Mzee KIBAO mdude na wengineo.
Yeye na Popoma ni wahitimu wa SAUT school of Journalism. SAUT inazalisha waandishi majiniazi!Huyu msemaji wa Serikali kiukweli ni mtu mmoja wa hali ya Chini sana, elimu gani hiyo aliyoipata? Anajibu vitu kama mtu wa mipasho. Why not engange with big issues? Wewe ukiambiwa na watu waongo mama yako kafa basi hilo ni suala la kututangazia sisi? Wamesema uongo sasa hii ya kulumbana nao guoni inakupotezea muda? Utajibu kila kitu mitandaoni?
Kayataka mwenyewe kayazusha mwenyeweView attachment 3509823
Mapema jana taarifa za kifo cha Anayedaiwa kuwa mama yake Msigwa
zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha watu waende kijijini msibani wakati msiba haupo. SIO SAWA.
Wote mliochapisha taarifa ya upotoshaji kuhusu Mama yangu mzazi futeni tafadhali. Mama yupo hai na mwenye afya njema". Ameandika Msigwa.
Anatafuta 'kiki' awaambie uvccm wakazifute hizo habariView attachment 3509823
Mapema jana taarifa za kifo cha Anayedaiwa kuwa mama yake Msigwa
zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha watu waende kijijini msibani wakati msiba haupo. SIO SAWA.
Wote mliochapisha taarifa ya upotoshaji kuhusu Mama yangu mzazi futeni tafadhali. Mama yupo hai na mwenye afya njema". Ameandika Msigwa.
Mtu kusikia msiba wa mtu fulani ni kupata taharuki?View attachment 3509823
Mapema jana taarifa za kifo cha Anayedaiwa kuwa mama yake Msigwa
zilisambaa katika mitandao ya kijamii.
"Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha watu waende kijijini msibani wakati msiba haupo. SIO SAWA.
Wote mliochapisha taarifa ya upotoshaji kuhusu Mama yangu mzazi futeni tafadhali. Mama yupo hai na mwenye afya njema". Ameandika Msigwa.
Msigwa mwenyewe ndiyo mpumbavu, kwa nini uandike mama tu bila kutoa ufafanuzi? Unafikri kama angeandika boss wake watu wangeandika mama? Yote hayo ni madhara ya kujipendekeza kupita kiasi!View attachment 3509823