ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Huyu ametumwa au amejituma mwenyewe ?? Anajikorogaa mwenyewe.....mama yake amesema PM atamsaidia WF vichochoro vyoote kukopa....akasema wametia doa huko njehakuna kukopa tena.....wajipange sana fedha kidogo yeye anajitoa akili....Msigwa shule yake ndogo sanaaa ufahamu pia finyuuuMsemaji wa Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali itaendelea kutekeleza miradi mbalimbali kwa kutumia fedha za ndani licha ya kuibuka kwa matamko kadhaa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo wa Tanzania ya kusitisha misaada ya kifedha kwa madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
Msigwa ameyasema hayo leo Novemba 23, 2025 wakati akijibu swali la mwandishi wa habari kuhusu mikakati ya serikali katika utekelezaji wa miradi kwa fedha za ndani, ambapo amesema serikali itaendelea kufanya mazungunzo na wadau hao ili kueleweshana baadhi ya mambo ambayo huwenda hawajayasikia kutoka upande wa serikali kuhusu tuhuma hizo.
Mabuggati na malamboginSasa hiyo mikopo mikubwa mnayokopa mnafanyia nini? Au ndo ununuzi wa zile Bugatti!! Upuuzi mtupu.
Another junk....Msemaji wa Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali itaendelea kutekeleza miradi mbalimbali kwa kutumia fedha za ndani licha ya kuibuka kwa matamko kadhaa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo wa Tanzania ya kusitisha misaada ya kifedha kwa madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu.