Gerson Msigwa: Mwaka huu Serikali itanunua ndege 4 aina ya Bombadier Q400

Gerson Msigwa: Mwaka huu Serikali itanunua ndege 4 aina ya Bombadier Q400

Mlijibiwa vile ili kuridhisha kelele zenu za kupinga ununuzi wa ndege

Wakati mnashangilia ndani ya mabox yenu yenye nywele, nyuma ya tent serikali inaendelea na harakati zaidi kupanua wigo wa maendeleo ya usafiri wa anga

Ndiyo tena muwapigie simu akina mange, heche na ford foundation muanze upya tena makelele ya kupinga mara pay in advance/leasing.

Kumbe hao akina mange, heche huwa mnawaogopa hvy mpaka mnakaa kikao cha kuwajadili na kuwawekea mipango ya kudanganya umma 😂

Safi sana mange na heche
 
Back
Top Bottom