McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Msemaji wa Serikali na Katibu mkuu wizara ya Habari, Sanaa, Tamaduni na Michezo Gerson Msigwa afafanua ukweli kuhusu taarifa ambazo zinaeleza kuwa uwanja wa Arusha umekosa hela za kumalizia ujenzi.
SomaPia:Tanzania yaomba msaada China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027
Akiongea hayo na Juma Ayo kutoka CROWN MEDIA mhe Msigwa amekanusha uvumi unaoendelea mitandaoni na kueleza kuwa Serikali imedhamiria kutekeleza miundombinu yote ya michezo ambayo imekusudiwa kukamilika kabla ya mashindano ya AFCON 2027.