Watu wenye akili hawatakiwa kwenye hii regimeWakuu,
Msemaji wa Serikali na Katibu mkuu wizara ya Habari, Sanaa, Tamaduni na Michezo Mhe Gerson Msigwa afafanua ukweli kuhusu taarifa ambazo zinaeleza kuwa uwanja wa Arusha umekosa hela za kumalizia ujenzi.
SomaPia:Tanzania yaomba msaada China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027
Akiongea hayo na Juma Ayo kutoka CROWN MEDIA mhe Msigwa amekanusha uvumi unaoendelea mitandaoni na kueleza kuwa Serikali imedhamiria kutekeleza miundombinu yote ya michezo ambayo imekusudiwa kukamilika kabla ya mashindano ya AFCON 2027.
Haya alizungumza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, James Millya, wakati wa maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kichina yaliyofanyika katika Ubalozi wa China jijini Dar es Salaam.Mwana FA anatafutiwa sababu ya kuondolewa hapo wizarani.
Bashite ni mtu wa fitna sana😂 Gerson kaamua aungane na Bashite
Watu wameenda nalo, waziri wa mambo ya nje na uwanja wapi na wapi!?Haya alizungumza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, James Millya, wakati wa maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kichina yaliyofanyika katika Ubalozi wa China jijini Dar es Salaam.
Aha ha 😄 🤣 😂 😆Wakuu,
Msemaji wa Serikali na Katibu mkuu wizara ya Habari, Sanaa, Tamaduni na Michezo Gerson Msigwa afafanua ukweli kuhusu taarifa ambazo zinaeleza kuwa uwanja wa Arusha umekosa hela za kumalizia ujenzi.
SomaPia:Tanzania yaomba msaada China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027
Akiongea hayo na Juma Ayo kutoka CROWN MEDIA mhe Msigwa amekanusha uvumi unaoendelea mitandaoni na kueleza kuwa Serikali imedhamiria kutekeleza miundombinu yote ya michezo ambayo imekusudiwa kukamilika kabla ya mashindano ya AFCON 2027.
Acheni fitna.Mwana FA anatafutiwa sababu ya kuondolewa hapo wizarani.
Bashite ni mtu wa fitna sana😂 Gerson kaamua aungane na Bashite