Halafu kuna maneno akiambiwa anasema anatukanwaKwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu tena urudi shule π.
Gerson huu umbali unaosema wewe sio kweli labda kama umekosa cha kusema. Kwa mfano kutoka Kinyarambo hadi Saadani Sekondari huko Iringa ni KM 40 kwahiyo ili nifike shule yako inabidi nitembee Kilometa 40 kwenda na kurudi ndipo nifike shule yako.
Hiyo hapa umetudanganya pakubwa Watz wa sasa sio wale wa miaka ile ambao hawajui Kilometa ni nini na mita ni nini.
View attachment 3587539
Hata muhasisi wa taifa mwalimu kambarage Nyerere...hakutembea kilometer nyingi hivyo kuipata ELIMU ya msingi..Shida tuliyonayo ni kuwa viongozi wetu wamekubaliana ili waonekana wanaishi maisha ya mananchi kila mmoja anasema ametokea kwenye maisha ya dhiki sana. Inawezekana wanayoyasema yakawa na ukweli kwa kiasi fulani, ila wakati mwingine unapozisikia hizi story ni kama zimetiwa chumvi kuwafariji wananchi wenye dhiki katika dhiki zao.
Ruvu mizaniDar to mlandizi ni km 53 sasa mwamba alikua anatembea umbali zaidi ya hapo
Ndo akaeanda kusomea huko ujingaπKwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu tena urudi shule π.
Gerson huu umbali unaosema wewe sio kweli labda kama umekosa cha kusema. Kwa mfano kutoka Kinyarambo hadi Saadani Sekondari huko Iringa ni KM 40 kwahiyo ili nifike shule yako inabidi nitembee Kilometa 40 kwenda na kurudi ndipo nifike shule yako.
Hiyo hapa umetudanganya pakubwa Watz wa sasa sio wale wa miaka ile ambao hawajui Kilometa ni nini na mita ni nini.
View attachment 3587539
Mbande mpaka kariakoo 29 km... kutoka kariakoo mpaka chanika 30km kutoka kariakoo mpaka kibaha 31 km.Kwa dar ni kutoka mbagala mpk bagamoyo, mwamba anatembea tu
π πSikuiz kabla ujaleta ulongo mezan inabid ukae chumban upige hesabu kabisa
Itakua alimaanisha mita 80 sio?ππUsikute huyu kilaza wa habari hajui tofauti ya kilometres na mita.
Pengine alikuwa ana spring miguuniMbande mpaka kariakoo 29 km... kutoka kariakoo mpaka chanika 30km kutoka kariakoo mpaka kibaha 31 km.
Huwezi amini hizo ni km nyingi sana KUTEMBEA kwa mguu labda alikua na baiskelii βΊοΈ π Sasa kaka msigwa anasema Kila siku 80km??!!
Malangali Secondary School mpaka Mbalamaziwa ni umbali wa 18km, tulikuwa basi lilikuwa linaondoka saa 11 asubuhi na kurudi ni saa 10 jioni. Ukipishana nalo ni mwendo wa mguu. Tulikuwa tunatembea muda wa masaa 3, kila saa 6km
Duh !Kutembea km 80 kwa mwendo wa fasta inachukua masaa 12-14... ina maana siku nzima anatembea kwenda akifika shule ni anageuka tena 12 hrs jumla masaa 24 kwenda na kurudi. Darasani alikua anakaa saa ngapi?
Na hapo hajaanza kurudi home πHalafu kuna maneno akiambiwa anasema anatukanwa
Ila sijui wana shida gani huko.. Nikikumbuka takwimu za mafuta kwenye soko la dunia simlaumu huyu wa kilometers 80
Yaani alikuwa anatembea umbali wa DSM mpaka ruvu
Hivi Seran mzee wako alikuwa rais wa awamu ya ngapi?Umeandika nini kijana?
Viongozi wawe na utaratibu wa kupima maneno Yao kabla ya kuyaongea. Haipendezi kiongozi kuwa mlopokaji au muongo muongo.Kwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu tena urudi shule π.
Gerson huu umbali unaosema wewe sio kweli labda kama umekosa cha kusema. Kwa mfano kutoka Kinyarambo hadi Saadani Sekondari huko Iringa ni KM 40 kwahiyo ili nifike shule yako inabidi nitembee Kilometa 40 kwenda na kurudi ndipo nifike shule yako.
Hiyo hapa umetudanganya pakubwa Watz wa sasa sio wale wa miaka ile ambao hawajui Kilometa ni nini na mita ni nini.
View attachment 3587539
ππππNa hapo hajaanza kurudi home π