Gerson Msigwa: Nimetembea Kilometa 80 kwenda shule

Kwanini alitembea umbali wote huo? Hiyo ni Nzega mjini-Puge/Ndala au Nzega to Isaka nauli ya 5000!!!

NB:Watu waliokulia maisha ya dhiki huwa na roho mbaya huko kazini kwa watu wanao wahudumia na ikiwa serikalini ndiyo kabisa.
 
Tupia live link tupate context ya story yake!
 
Kwanini alitembea umbali wote huo? Hiyo ni Nzega mjini-Puge/Ndala au Nzega to Isaka nauli ya 5000!!!

NB:Watu waliokulia maisha ya dhiki huwa na roho mbaya huko kazini kwa watu wanao wahudumia na ikiwa serikalini ndiyo kabisa.
Labda alitaka kusema muda aliotumia kutembea unalingana na muda unaotumika katika safari ya 80kmπŸ˜€
 
Hivi huyu anaijuwa km 80 kweli

Ova
 
Kutembea km 80 kwa mwendo wa fasta inachukua masaa 12-14... ina maana siku nzima anatembea kwenda akifika shule ni anageuka tena 12 hrs jumla masaa 24 kwenda na kurudi. Darasani alikua anakaa saa ngapi?
Aseee.
Na usisahau km 80 kijijini lazima ukatize kipande chenye pori lenye wanyama kama nyoka, Simba, Chui, Fisi, na Tembo.
Lakini mwamba alitembea tu🀣🀣🀣
 
Tatizo analopoka sana
Mpaka anajipiga mama
Mwenyewe

Ova
 
Anatuona wote WAPUUZI kama yeye? 80km kwa miguu anazijua vizuri kilomita 80????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…