Gerson Msigwa: Nimetembea Kilometa 80 kwenda shule

Msemaji wa serikali anakua muongo hivi mchana kweupe kwenye media Tanzania tulikukosea nini MUNGU?

Si bora angekua muongo, Hajui anacho kiongea mkuu, yeye kuchwani mwake anajua 80KM ni kutoka Kimara mpaka shekilango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…