Gerson Msigwa punguza utoto

Gerson Msigwa punguza utoto

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Mara anajipost anasonga ugali, Mara sijui yuko anapiga masarakasi, mara anapiga mamisamba.
Naona anachokifanya compared na cheo chake ni utoto mtupu.
Halafu naona kama toka atumbuliwe pale ikulu hajakaa sawa kisaikolojia.
 
Screenshot_20220721-084601.png
 
Mkuu,hivi kweli umkute msemaji wa hata majirani zetu tu hapo kenya anafanya ujinga mitandaoni kama msigwa anavyofanya?
Naona kwa msigwa haijakaa sawa hata kimaadili tu achilia mbali umri wake.
Kwanini unaitumia kenya kuilinganisha na Tanzania. Acha ujuaji
 
Mleta uzi naona una bifu na msigwa wa watu, sioni kama kajamaa kanashida yoyote zaidi ya kujikubali na cheo chake kipya, naungana na msemaji mmoja hapo juu sio kila mara mtu unatakiwa kuwa serious , sometimes unajiachia na kumwagilia moyo, ukisikia na kuona ya wabunge basi ndio utaamini kwamba kila jambo lina wakati wake , wakati wa kazi kazi wakati wa bata bata tu.
 
Wewe una shida gan si ana maisha yake inje ya kaz.
Yan ndio huu utamadun mbongo akishapata wadhifa bas hobbies akae asahau.unakuta mtu anapenda swimming, bicycle riding hana tena
Anakua mtu wa masuti kuendeshwa so je mtu huyu asifanye physically exercise?
 
Back
Top Bottom