Gerson Msigwa punguza utoto

Gerson Msigwa punguza utoto

Mbona anaishi maisha yake ya kawaida na how come useme katumbuliwa
 
Mara anajipost anasonga ugali, Mara sijui yuko anapiga masarakasi, mara anapiga mamisamba.
Naona anachokifanya compared na cheo chake ni utoto mtupu.
Halafu naona kama toka atumbuliwe pale ikulu hajakaa sawa kisaikolojia.
Share image tuweke maneno yanayostahili kwake
 
Mara anajipost anasonga ugali, Mara sijui yuko anapiga masarakasi, mara anapiga mamisamba.
Naona anachokifanya compared na cheo chake ni utoto mtupu.
Halafu naona kama toka atumbuliwe pale ikulu hajakaa sawa kisaikolojia.
Wewe pichai ili tuchangie
 
Back
Top Bottom