Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apige kimya kimya, inatuhusu nini sisi?Kwani yule jamaa ana akili timamu?
Mimi huwa namuonaga kama dishi lililoyumba siku nyingi sana.
Share image tuweke maneno yanayostahili kwakeMara anajipost anasonga ugali, Mara sijui yuko anapiga masarakasi, mara anapiga mamisamba.
Naona anachokifanya compared na cheo chake ni utoto mtupu.
Halafu naona kama toka atumbuliwe pale ikulu hajakaa sawa kisaikolojia.
Wewe pichai ili tuchangieMara anajipost anasonga ugali, Mara sijui yuko anapiga masarakasi, mara anapiga mamisamba.
Naona anachokifanya compared na cheo chake ni utoto mtupu.
Halafu naona kama toka atumbuliwe pale ikulu hajakaa sawa kisaikolojia.