Mkuu,hivi kweli umkute msemaji wa hata majirani zetu tu hapo kenya anafanya ujinga mitandaoni kama msigwa anavyofanya?Sijaona shida yoyote kwa Msigwa, tatizo naona lipo kwako mtoa mada.
Mara anajipost anasonga ugali, Mara sijui yuko anapiga masarakasi, mara anapiga mamisamba.
Naona anachokifanya compared na cheo chake ni utoto mtupu.
Halafu naona kama toka atumbuliwe pale ikulu hajakaa sawa kisaikolojia.
Sijaona shida yoyote kwa Msigwa, tatizo naona lipo kwako mtoa mada.
Kwanini unaitumia kenya kuilinganisha na Tanzania. Acha ujuajiMkuu,hivi kweli umkute msemaji wa hata majirani zetu tu hapo kenya anafanya ujinga mitandaoni kama msigwa anavyofanya?
Naona kwa msigwa haijakaa sawa hata kimaadili tu achilia mbali umri wake.