Gerson Msigwa: Serikali tayari imeshanunua treni 10 za mchongoko, 8 zimeshawasili

Gerson Msigwa: Serikali tayari imeshanunua treni 10 za mchongoko, 8 zimeshawasili

Nimemtukana nani jamii forums! Na unaweza kuweka ushahidi wa kuonesha ninashinda humu masaa 24? Nimekujibu kwa mtazamo wangu, wewe umepaniki! Jibu kwa hoja. Usitafute visingizio vya uongo.
Ushahidi upo ndugu yangu. Maana nikipitia Thread zote hapa JF zimejaa comments zako tu.
Tueleze kwanini muda wote upo JF? Je, hii ni ajira yako?
 
Heshimu mawazo ya mtu mifi wewe. Au unafikiri kila mtu yupo kwa ajili ya kulamba miguu ya watu wengine kama mnavyofanya nyinyi uvccm msiojitambua.
🤣 🤣 🤣 🤣 Jamaa kauliza swali zuri wewe unakuja na janja janja ya kuogelea kulamba miguu. Kama kweli dishi lako halijayumba jibu swali lake.
 
Ushahidi upo ndugu yangu. Maana nikipitia Thread zote hapa JF zimejaa comments zako tu.
Tueleze kwanini muda wote upo JF? Je, hii ni ajira yako?
Hopeless! Umekosa hela ya mboga mpaka uumie kiasi hiki?
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 24/7 upo JF. Tafuta kazi ya maana kijana, acha kuchamba watu JF
Dah! Bahati iliyoje hii! Nipe basi kazi ya kukugonga kila siku 24/7. Na uzuri mashangingi wengi mnaopatikana huko Lumumba, si haba! Mkipita mtaani mnatingisha minyama tu.
 
..imeingiza hela kibao relative to what?

..reli zote huingiza faida kwa kusafirisha MIZIGO sio abiria.

..sisi tunahimiza RATIBA na muda wa kukamilisha mradi izingatiwe ili SGR itimize lengo la kuwa reli ya MIZIGO.
Sgr siyo reli ya mizigo we zamwamwa
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali tayari imeshanunua treni 10 za mchongoko ambapo treni 8 zimeshawasili na kati ya hizo 8, treni moja siku ya Jumamosi Januari 25, 2025 inakamilisha majaribio yake kutoka Morogoro kuelekea Dodoma ili ianze kutoa huduma rasmi

Msigwa ameyasema hayo mkoani Morogoro wakati akizungumza na wanahabari kabla ya kuelekea kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mikumi na wanahabari hao ambapo Januari 25, 2025 atakuwa na mkutano wa kuelezea miradi mbalimbali ya kimkakati ya serikali.

Msigwa amesema kuwa hapo awali watu wengi waliongelea vibaya mradi huo wa Treni za SGR, kuwa Serikali imenunua treni zilizopitwa na wakati ambazo sio ‘mchongoko’ hata hivyo wao pia ni mashahidi wa treni zilizopo hivi sasa.

View attachment 3213597
Treni za mchongo.
 
Back
Top Bottom