Kiburi cha madaraka, ulevi wa madaraka, dharau, ubabe, vitisho, dhuluma, uonevu, uminywaji wa haki, ukandamizaji, utekaji, na mauaji kutoka kwa watawala ndiyo kumetufikisha hapa tulipo.
Asitafutwe mchawi! Hii vita imetafutwa na watawala wenyewe! Na siyo mtu mwingine yeyote yule.
Anaona kurushia slogans za kimombo ataonekana ametema madini makali.
CNN imetoa habari na imesema imezihakiki, wewe unakuja na tuhuma dhidi yao pasipo kujibu walichosema. Basi hata hizo tuhuma unatoa weka evidence walau kidogo. Shenzi sana.
Senior officials wa serikali ya tanzania wana fikira za kijima sana. Hivi hawa watu ni lini watakuwa civilized na professional. Hata ile dhamira haiwasuti pia. Huyu naye anafanya kazi serikalini na ana watu lukuki anaongoza. Poor tanzanians!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.