Gerson Msigwa: Ufafanuzi juu ya pesa za serikali zilizotumika kujenga barabara ya Morroco- Mwenge

Gerson Msigwa: Ufafanuzi juu ya pesa za serikali zilizotumika kujenga barabara ya Morroco- Mwenge

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
UFAFANUZI.
Tsh. Bil. 4 za Sherehe za Uhuru zilizotumika kujenga barabara ya Morroco-Mwenge (2016) zilifanya upanuzi wa barabara za njia 2 zilizopo katikati ya barabara na Tsh. Bil. 71.8 za msaada wa Japan zimetumika kujenga barabara za njia 4 zilizozinduliwa na Mhe. Rais Samia.

IMG_20211209_090736.jpg
 
Hata Gerson Msigwa angeacha tu kufafanua hakuna kitu wananchi wangemfanya rais.

Kwa mujibu wa katiba yetu rais ndiyo kila kitu nchi hii, ndiyo maana hashitakiwi popote kwa jambo lolote.
 
View attachment 2037904
Na mnazo walipa wanao endesha kesi ya kubumba ya Mbowe na wenzake mnazipata wapi? Maana kuna taarifa kuanzia jaji hadi mawakili wa serikali vituo vyao vya kazi sio Dar. Mmewatoa mikoani
 
UFAFANUZI.
Tsh. Bil. 4 za Sherehe za Uhuru zilizotumika kujenga barabara ya Morroco-Mwenge (2016) zilifanya upanuzi wa barabara za njia 2 zilizopo katikati ya barabara na Tsh. Bil. 71.8 za msaada wa Japan zimetumika kujenga barabara za njia 4 zilizozinduliwa na Mhe. Rais Samia.
Tunaomba na ufafanuzi wa 1.5 Tillion ziko wapi?

mungu wa Chato alikuwa baba wa uwongo.
 
Msigwa katumbukia JF kakutana na jambo akaona alitolee ufafanuzi vizuri.

Anyway, mimi sijui hesabu, ila kama njia mbili zilitumia bil 4, kwanini njia nne zitumie bil 71?!

Wale wanaojua cross multiplication msaada wenu.
 
Jamani mm huwa sieliwi eti barabara njia mbili mara njie nne tena njia nane,,
 
Tunaomba na ufafanuzi wa 1.5 Tillion ziko wapi?

mungu wa Chato alikuwa baba wa uwongo.
Magufuli ndiye fisadi Papa wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi.

Ufisadi aliopiga Magufuli ni mkubwa kuliko ufisadi wote wa awamu zote nne za nyuma yake ukijumlisha kwa pamoja.

Sifa na utukufu zimwendee CAG Profesa Musa Assad ambae alifanya kazi nzuri sana ya kuibua ufisadi ule.
20211206.jpg
1638703545.jpg
 
Hata Gerson Msigwa angeacha tu kufafanua hakuna kitu wananchi wangemfanya rais.

Kwa mujibu wa katiba yetu rais ndiyo kila kitu nchi hii, ndiyo maana hashitakiwi popote kwa jambo lolote.
Kutoa ufafanuzi wa jambo ambalo ni jukumu la serikali inayoendeshwa kwa kodi za wananchi sio kwasababu hao wananchi kuna jambo wanaweza kumfanya rais.ila unatakiwa tu ujue kua wananchi ndio waajiri wa huyo rais na wakiamua kumkwamisha wanaweza.
 
Msigwa anapoteza muda...ule wakati wa kusema uongo halaf watu wanyamaze umepita. Tumeishauzika na Magu. Hivyo atulize matter core
 
Back
Top Bottom