Gerson Msigwa: Ufafanuzi juu ya pesa za serikali zilizotumika kujenga barabara ya Morroco- Mwenge

Gerson Msigwa: Ufafanuzi juu ya pesa za serikali zilizotumika kujenga barabara ya Morroco- Mwenge

We unawazungumzia wananchi wa nchi ipi????
Kutoa ufafanuzi wa jambo ambalo ni jukumu la serikali inayoendeshwa kwa kodi za wananchi sio kwasababu hao wananchi kuna jambo wanaweza kumfanya rais.ila unatakiwa tu ujue kua wananchi ndio waajiri wa huyo rais na wakiamua kumkwamisha wanaweza.
 
Ni sawa utoe pesa ya kuchimbiwa choo wakati huo huo unajua huendi kuishi hapo.

Kulikua na haja gani ya kutoa billion 4 wakati kuna cha bure cha billion 71.
 
UFAFANUZI.
Tsh. Bil. 4 za Sherehe za Uhuru zilizotumika kujenga barabara ya Morroco-Mwenge (2016) zilifanya upanuzi wa barabara za njia 2 zilizopo katikati ya barabara na Tsh. Bil. 71.8 za msaada wa Japan zimetumika kujenga barabara za njia 4 zilizozinduliwa na Mhe. Rais Samia.

View attachment 2037904
hivi kati ya waziri na mkurugenzi wa idara ya habari nani anajua siri za serikali, tunapaswa kuamini kauli zake?
 
Back
Top Bottom