Na mnazo walipa wanao endesha kesi ya kubumba ya Mbowe na wenzake mnazipata wapi? Maana kuna taarifa kuanzia jaji hadi mawakili wa serikali vituo vyao vya kazi sio Dar. Mmewatoa mikoaniUFAFANUZI.
Tsh. Bil. 4 za Sherehe za Uhuru zilizotumika kujenga barabara ya Morroco-Mwenge (2016) zilifanya upanuzi wa barabara za njia 2 zilizopo katikati ya barabara na Tsh. Bil. 71.8 za msaada wa Japan zimetumika kujenga barabara za njia 4 zilizozinduliwa na Mhe. Rais Samia.
View attachment 2037904
Tunaomba na ufafanuzi wa 1.5 Tillion ziko wapi?UFAFANUZI.
Tsh. Bil. 4 za Sherehe za Uhuru zilizotumika kujenga barabara ya Morroco-Mwenge (2016) zilifanya upanuzi wa barabara za njia 2 zilizopo katikati ya barabara na Tsh. Bil. 71.8 za msaada wa Japan zimetumika kujenga barabara za njia 4 zilizozinduliwa na Mhe. Rais Samia.
Magufuli ndiye fisadi Papa wa muda wote kwani haijawahi kutokea tokea uhuru Rais akapiga ufisadi wa TZS 1.5 trilioni ndani ya awamu moja ya uongozi.Tunaomba na ufafanuzi wa 1.5 Tillion ziko wapi?
mungu wa Chato alikuwa baba wa uwongo.
Kumbe hoja zinazotengenezwa humu wahusika wanaziona? Na zinawafikia ipasavyo
Mme wako tu akichepuka tu unakuwa kimya sembu raisiHata Gerson Msigwa angeacha tu kufafanua hakuna kitu wananchi wangemfanya rais.
Kwa mujibu wa katiba yetu rais ndiyo kila kitu nchi hii, ndiyo maana hashitakiwi popote kwa jambo lolote.
Kutoa ufafanuzi wa jambo ambalo ni jukumu la serikali inayoendeshwa kwa kodi za wananchi sio kwasababu hao wananchi kuna jambo wanaweza kumfanya rais.ila unatakiwa tu ujue kua wananchi ndio waajiri wa huyo rais na wakiamua kumkwamisha wanaweza.Hata Gerson Msigwa angeacha tu kufafanua hakuna kitu wananchi wangemfanya rais.
Kwa mujibu wa katiba yetu rais ndiyo kila kitu nchi hii, ndiyo maana hashitakiwi popote kwa jambo lolote.
Nyumbu gang hata ukifafanua hawataelewa kitu