Gerson Msigwa: Ujenzi wa Uwanja wa AFCON Arusha wafikia zaidi ya 16%

Gerson Msigwa: Ujenzi wa Uwanja wa AFCON Arusha wafikia zaidi ya 16%

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 unaendelea vizuri licha ya mvua kubwa zinazonyesha na sasa umefikia 16% za ujenzi.


Soma, Pia:

Ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha utakaotumika kwenye Fainali za AFCON 2027 wafikia 11%

Picha: Mwonekano mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, utakaotumika kwenye michuano ya AFCON 2027
 
Wa DOM ndio basii tena?????? Maana pale kuna vijengo kama vile vya Nyerere square au ndo wameanza vile jamani?
 
Back
Top Bottom