Gerson Msigwa umelishwa nini mpaka unatetea ufisadi na mkataba wa hovyo kama huu! Huoni aibu kwa taifa lako.

Gerson Msigwa umelishwa nini mpaka unatetea ufisadi na mkataba wa hovyo kama huu! Huoni aibu kwa taifa lako.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
⁴Kupatia watumishi mafunzo nalo linahitaji Mwarabu kuwekeza.

Kuongeza idadi ya meli hatuwezi kama taifa kutafuta tatizo na kufanya ufumbuzi maana tatizo ni miundo mbinu
Screenshot_20230611-105246.jpg
 
Hii nguvu kubwa inayotumika kuhalalisha huu mkataba, ndio ushahidi wa kimazingira kuwa hapa Watanzania wa huku bara tumepigiwa na kitu kizito.
 
Back
Top Bottom