Nyankurungu2020 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 4,170 Reaction score 6,757 Jun 11, 2023 #1 ⁴Kupatia watumishi mafunzo nalo linahitaji Mwarabu kuwekeza. Kuongeza idadi ya meli hatuwezi kama taifa kutafuta tatizo na kufanya ufumbuzi maana tatizo ni miundo mbinu
⁴Kupatia watumishi mafunzo nalo linahitaji Mwarabu kuwekeza. Kuongeza idadi ya meli hatuwezi kama taifa kutafuta tatizo na kufanya ufumbuzi maana tatizo ni miundo mbinu
B Benyvon New Member Joined May 1, 2023 Posts 2 Reaction score 4 Jun 11, 2023 #2 Ana familia na watoto
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 7,719 Reaction score 14,506 Jun 11, 2023 #3 He has a family to feed.Anaenda na upepo.
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Jun 11, 2023 #4 Hii nguvu kubwa inayotumika kuhalalisha huu mkataba, ndio ushahidi wa kimazingira kuwa hapa Watanzania wa huku bara tumepigiwa na kitu kizito.
Hii nguvu kubwa inayotumika kuhalalisha huu mkataba, ndio ushahidi wa kimazingira kuwa hapa Watanzania wa huku bara tumepigiwa na kitu kizito.
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 6,602 Reaction score 10,801 Jun 11, 2023 #5 Gerisoni mwakyusa 😂😂😂😂
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Jun 11, 2023 #6 Benyvon said: Ana familia na watoto Click to expand... Na nyumba yake kule mbweni hajaiskim