Vipi vituo vya kupigia kura? Vingapi vilinusurika?moto
Umoja wa wamiliki wa vituo vya mafuta mbona wana takwimu tofauti?Wale vijana hawakutakiwa kurudushwa uraiani
Gerson Msigwa ametaja kuwa vituo 672 vilichomwa moto kufuatia vurugu zilizojitokeza Oktoba 29
Utetezi wao, wanatafuta justification ya walichofanya.Umoja wa wamiliki wa vituo vya mafuta mbona wana takwimu tofauti?
Tuna serikali yenye viongozi waongo sana vitu 600 vichomwe moto watu wangekuwa wanaangaika kupata mafuta now..!Katika mahojiano yake na Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametaja kuwa vituo 672 vilichomwa moto kufuatia vurugu zilizojitokeza Oktoba 29 na siku nyingine. Amesema idadi hiyo ni ile ile aliyowahi kuitaja Waziri Mkuu, licha ya kuwepo kwa taarifa tofauti tofauti kuhusu idadi ya vituo vya mafuta vilivyoharibiwa.
Msigwa ameongeza kuwa, katika matukio hayo, kuna mmiliki mmoja ambaye takribani vituo vyake 38 vya mafuta vilichomwa moto.
Pia Soma: Vituo vya Mafuta kuchomwa; Tuamini takwimu za Serikali dhalimu (vituo 672), au Wamiliki wa Vituo (41)?
Waongo hawaHivi sheria ya takwimu ni kwa raia tu au hadi kwa viongozi? Chama cha wamiliki wa petrol station walisema ni 41 pekee zilichomwa au kuharibiwa sasa hizo 600+ zimetoka wapi? Nchi nzima ina sheli 800+ je ina maana 90% ya sheli zilichomwa?
Sheria ya takwimu ifuate mkondo wake
Nenda kawakamate uwarudishe. Bado nyumba yako hebu toa location mwanangu.Wale vijana hawakutakiwa kurudushwa uraiani
Yaani wanachojua ni kusema uongo,mbona hasemi idadi ya watu waliokufaKatika mahojiano yake na Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametaja kuwa vituo 672 vilichomwa moto kufuatia vurugu zilizojitokeza Oktoba 29 na siku nyingine. Amesema idadi hiyo ni ile ile aliyowahi kuitaja Waziri Mkuu, licha ya kuwepo kwa taarifa tofauti tofauti kuhusu idadi ya vituo vya mafuta vilivyoharibiwa.
Msigwa ameongeza kuwa, katika matukio hayo, kuna mmiliki mmoja ambaye takribani vituo vyake 38 vya mafuta vilichomwa moto.
Pia Soma: Vituo vya Mafuta kuchomwa; Tuamini takwimu za Serikali dhalimu (vituo 672), au Wamiliki wa Vituo (41)?