Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Msigwa anasema wote wanaofanya chokochoko mtandaoni na kupitia kwenye vyombo vya habari lengo ni kuharibu uchumi wetu ili wao wafanikiwe.
Ni sababu wanaona Tanzania inaendelea kiuchumi ndio maana wanafanya hayo yote, kutokana na maendeleo tuliyopiga kiuchumi kuna mpaka nchi zinakuja kujifunza Tanzania kuoma nchi imefanyaje kwenye miradi kama SGR!
Ila Msigwa! SGR hii ambayo wafanyakazi walioshiriki kujenga wanakwambia hawatakuja kuipanda kamwe! SGR hii tuliochukuwa vichwa used? Nakojoaaaa🤣🤣🤣🤣