Gerson Vieira kamzidi nini Ndemla?

Wabongo bhana,we tayari umeshaona Viera ni mbovu?umeona makosa yapi na mangapi kwake?Kiuhalisia jamaa kaitendea haki ile namba, na hata kuingia Fraga kafanya kazi nzuri pia.

Kimsingi,Vieira aliubadilisha upepo baada ya half time,Simba ilistabilize na kufanya tuliyotarajia.
 
Hilo jamaa ni makalio, likashabikie FM academia mpira halijui
 
Wabongo mmeanza majungu. Ndio kwanza mechi ya kwanza. Hata huyo Deo Kanda anayesifiwa leo anaweza kukata chaji. Tukumbushe Kotei alianzaje
Kwa kuwa bado tunae hakuna haja ya kuangaika na comments sana maana ni mapema na wakati utaamua,

Wengine ni followers kama mimi hata kwenye support hawapo.
 
Kwa sisi watu wa Mpira tunasema jamaa ana tachi ya Mpira Hana Mambo mengi uwanjani kama akina deo kanda na chamaa? Anapokea pasi anatoa pasi, tumpe muda,

Da Silva yupo njemaa

Deo kanda [emoji817]

Kahata [emoji817]

Miraji athman [emoji817]

Ashraf shiboub [emoji817]

Kapombe ni mtamuuuu weweeee!
 
Hapo kubadilisha mchezo nilidhan nmeona peke yangu
 
Muzamir pia yaani leo siwezi kumuelezea mkuu.
 
Sawa ngoja tumpe muda.
 
Mpira ulianzia bongo,nawacheck pundits fake katika ubora wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…