Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Huyu Mbrazil tumepigwa. Mkubali, mkatae ni heri ya Said Ndemla "Ball dancer".
Shiboub "Muhogo Mchungu" yuko vizuri
Shiboub "Muhogo Mchungu" yuko vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jamaa ni makalio, likashabikie FM academia mpira halijuiWabongo bhana,we tayari umeshaona Viera ni mbovu?umeona makosa yapi na mangapi kwake?Kiuhalisia jamaa kaitendea haki ile namba, na hata kuingia Fraga kafanya kazi nzuri pia.
Kimsingi,Vieira aliubadilisha upepo baada ya half time,Simba ilistabilize na kufanya tuliyotarajia.
Kwa kuwa bado tunae hakuna haja ya kuangaika na comments sana maana ni mapema na wakati utaamua,Wabongo mmeanza majungu. Ndio kwanza mechi ya kwanza. Hata huyo Deo Kanda anayesifiwa leo anaweza kukata chaji. Tukumbushe Kotei alianzaje
Umepigwa na Nani wewe? Fuata yako Simba iko vizuri.Huyu Mbrazil tumepigwa. Mkubali, mkatae ni heri ya Said Ndemla "Ball dancer".
Shiboub "Muhogo Mchungu" yuko vizuri
Hapo kubadilisha mchezo nilidhan nmeona peke yanguWabongo bhana,we tayari umeshaona Viera ni mbovu?umeona makosa yapi na mangapi kwake?Kiuhalisia jamaa kaitendea haki ile namba, na hata kuingia Fraga kafanya kazi nzuri pia.
Kimsingi,Vieira aliubadilisha upepo baada ya half time,Simba ilistabilize na kufanya tuliyotarajia.
Muzamir pia yaani leo siwezi kumuelezea mkuu.Kwa sisi watu wa Mpira tunasema jamaa ana tachi ya Mpira Hana Mambo mengi uwanjani kama akina deo kanda na chamaa? Anapokea pasi anatoa pasi, tumpe muda,
Da Silva yupo njemaa
Deo kanda [emoji817]
Kahata [emoji817]
Miraji athman [emoji817]
Ashraf shiboub [emoji817]
Kapombe ni mtamuuuu weweeee!
Wabrazili hamnakitu, Timu imeibiwa fedha mchana kweupe.Huyu Mbrazil tumepigwa. Mkubali, mkatae ni heri ya Said Ndemla "Ball dancer".
Shiboub "Muhogo Mchungu" yuko vizuri
We utakuwa Vitambi fcWabrazili hamnakitu, Timu imeibiwa fedha mchana kweupe.
Bishana kwa hoja, matusi ya nini sasa?We ni boya, game ya kwanza kwa ile perfomance ndo unamlinganisha na ndemla????
Sio kila siku ni ijumaaWabongo mmeanza majungu. Ndio kwanza mechi ya kwanza. Hata huyo Deo Kanda anayesifiwa leo anaweza kukata chaji. Tukumbushe Kotei alianzaje
Sawa ngoja tumpe muda.Wabongo bhana,we tayari umeshaona Viera ni mbovu?umeona makosa yapi na mangapi kwake?Kiuhalisia jamaa kaitendea haki ile namba, na hata kuingia Fraga kafanya kazi nzuri pia.
Kimsingi,Vieira aliubadilisha upepo baada ya half time,Simba ilistabilize na kufanya tuliyotarajia.
Shida hapa wameweka unazi mbeleWabrazili hamnakitu, Timu imeibiwa fedha mchana kweupe.