Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

Usijaribu kwenye magari ya chini ni shida sana japo faida ni nyingi kuliko hasara lakn mimi niliuza langu la gesi sababu system ya umeme ilikuwa inasumbua sana halafu kupanda mlima na nguvu ya gari ilishuka ,buti space yote Ilijaa mtungi
Imeandikwa hapo kuna Warranty So chochote kimeleta changamoto unafika tu ofisini kwao
 
kwakweli hii kitu inahitaji elimu zaidi na zaidi. Kuwa na mtungi very open hivyo inaleta mashaka endapo kutatokea mtikisiko wa ajali aua hata leakage.
Kuleta hoja ya bei tu halitoi majibu sahihi yanayotakiwa
Wapigie Simu watakupa elimu
 
Ila sisi watanzania tuna tamaa Sana kipindi gesi imeingia walikua wanafunga kwa 1.3-1.5 Sasa wameona wapeleke Mpaka 2m huko
 
Ila sisi watanzania tuna tamaa Sana kipindi gesi imeingia walikua wanafunga kwa 1.3-1.5 Sasa wameona wapeleke Mpaka 2m huko
Mkuu inategemea na ujazo wa Mtungi kwan hujasoma uzi comrade?
 
Kuna jamaa kafunga kwenye gari yake anasema speed imepungua hasa kwenye mliman
 
Nimekutana nayo mahali nimeona nishee (Copy&Paste),

Makadirio ya chini ya umbali kwa cc 1400s hadi 1500s

GAS KILO 1 NI SHILINGI 1590[emoji95][emoji95]

Kg 15 inatembea km 230
Kg 11 unatembea km 180
Kg 9 inatembea km 120
Huu umbali unatofautiana kulingana na cc za engine yako.

Ukifunga gas kwenye gari haimaanishi mfumo wa zamani wa mafuta unaondoka hapana!! Ila unakuwepo na ukiamua kuswitch unaswitch mwenyewe kwamba sasa nataka kutumia mafuta au sasa nataka kutumia gas.

Sisi tuna-iset gari iji switch automatically kwenda kwenye gas ikifika r.p.m ya 500. Tunafunga gas kwenye magari ya petroli kwa mkoa wa dar es Salaam TU kwa utaalamu wa hali ya juu unaofanywa na wahandisi wa magari wa NIT na kuifanya gari yako kutembea bila gharama kubwa za mafuta.

Pia ukifunga gas kwenye gari yako utaifanya engine yako kuishi maisha marefu zaidi kwa kuwa gas ni clean zaidi ya mafuta hivo inachomwa vizuri na inasaidia kutunza mazingira kwa sababu inafanya complete combustion.

WARRANTY MIEZI 6

“Kanuni mpya ndani ya sheria ya Mazingira inamtaka mwekezaji mpya wa kisima cha mafuta kuhakikisha anaweka miundombinu ya gesi asilia yani CNG Vinginevyo hatopatiwa leseni” hayo yamesemwa na Waziri wa muungano na Mazingira. Selemani Jaffo

Bei (gharama) za ufungaji
A;
~ Milioni 2.5 kwa mtungi wa kilo 15
~ Milioni 1.9 Kwa mtungi wa kilo 11
~ Milioni 1.8 kwa mtungi wa kilo 9

B;
Pia kuna kufunga kwa mkopo wa Maendeleo Bank ambapo wao wanakulipia kila kitu na gharama zote na mteja anatakiwa kupeleka Tsh. elfu 50 kila week hadi anamaliza deni lake.

Kumbuka, hii system ukifunga inakuwa ni ya kwako hivo ukiuza gari unaweza ukaitoa na kufunga kwenye gari lingine utakalo nunua.

Location: Tunapatikana NIT Mabibo
[emoji338] Namba: 0683477676
WhatsApp: 0683477676
Kama huduma haijaaambaa Tanzania nzima na ziwepo gas fillings stations Haina maana kwa sababu Nchi sio Dar tu na huwezi kukaa na gari sehemu moja
 
Ukweli na ki ist fulani nimechukulia mtu uber nimekipiga gas. Changamoto ni moja tuu ule mtungi umekula space yote kwenye buti. So kuna mida mizigo kupakia inakua ni changamoto pia.

Pia wangetusaidia kuongeza vituo vya kujazia gesi iyo. Dar tupate kila wilaya tofauti na vilivyo viwilo sasa.

Mkoani tupate walau kimoja kimoja kila city centre
 
What are the Pros and Cons of Buying an LPG Powered Car?​

Pros:​

• Autogas fuel cars have lower running costs.

Auto LPG may actually prolong engine life.

• Autogas fuel is less expensive than petrol or diesel.

Engine oil and spark plugs need changing less often with LPG, so service costs are reduced.

• Environmental benefits include reduced particulate, CO2 and NOx emissions,

• Auto LPG fuel octane ratings over 100 allows for higher compression ratios, which can increase power output.

Cons:​

• The biggest negative is the extra cost involved in buying an LPG car or converting a car to LPG fuel. However, the cost is typically recovered quickly through the realised savings.

• In some countries it may be a bit more difficult to find an LPG service station but, in most countries, they are becoming more numerous every year.
 
Gas no ya kwetu na inatoka Mtwara kwa bomba mpaka Dar. Kwanini bei yake ni kubwa kiasi hicho? Nadhani wakitokea wateja wengi na hiyo bei itapanda Ile mbaya.
 
Hizo hesabu hapo ni kwa cc 1400 na 1500,ikiwa ni cc 4000 inakuwaje...?
 
Gas no ya kwetu na inatoka Mtwara kwa bomba mpaka Dar. Kwanini bei yake ni kubwa kiasi hicho?
mkuu, Tz haina mitambo ya ku-compress/liquify gas na kuziweka kwenye mitungi, so zinatoka nje

Gesi ya kule Kusini kuja Dar, inaingia moja kwa moja kwenye mashine za viwandani au kuwa stored lakini siyo katika compressed/liquified form
 
hasara zake ni kwamba ukipata ajali,kwa mgongano mkubwa kuna uwezekano huo mtungi wa gas ukawa bomu moja matata sana na tukaja kuzoa majivu tu.

huwa na najiuliza mnafunga hiyo mitungi ya gas kwa ajili tu ya kupunguza gharama au mmetazama na usalama wa mtu anayetumia hayo magari?
maana haiingii akilini gari limetengenezwa liende kwa mafuta,wewe unaweka mfumo wa gas tu,vipi mtikisiko wa gas hauwezi kuleta shida?,je mmefanya tafiti za kutosha?,

nauliza kuhusu usalama sio gharama.
Mpaka inakubaliwa na mamlaka husika za serikali ina maana wamefanyia utafiti wa kutosha sana Watanzania ebu tuache imani potofu na kuwaza negatives kila wakati na ndio maana ata wake zetu usipo wafundisha kuendesha gari anakwambia siku ukiumwa nani atakuemdesha sheet
 
Haya,najua ninachokisema.
 
Nimekutana nayo mahali nimeona nishee (Copy&Paste),

Makadirio ya chini ya umbali kwa cc 1400s hadi 1500s

GAS KILO 1 NI SHILINGI 1590[emoji95][emoji95]

Kg 15 inatembea km 230
Kg 11 unatembea km 180
Kg 9 inatembea km 120
Huu umbali unatofautiana kulingana na cc za engine yako.

Ukifunga gas kwenye gari haimaanishi mfumo wa zamani wa mafuta unaondoka hapana!! Ila unakuwepo na ukiamua kuswitch unaswitch mwenyewe kwamba sasa nataka kutumia mafuta au sasa nataka kutumia gas.

Sisi tuna-iset gari iji switch automatically kwenda kwenye gas ikifika r.p.m ya 500. Tunafunga gas kwenye magari ya petroli kwa mkoa wa dar es Salaam TU kwa utaalamu wa hali ya juu unaofanywa na wahandisi wa magari wa NIT na kuifanya gari yako kutembea bila gharama kubwa za mafuta.

Pia ukifunga gas kwenye gari yako utaifanya engine yako kuishi maisha marefu zaidi kwa kuwa gas ni clean zaidi ya mafuta hivo inachomwa vizuri na inasaidia kutunza mazingira kwa sababu inafanya complete combustion.

WARRANTY MIEZI 6

“Kanuni mpya ndani ya sheria ya Mazingira inamtaka mwekezaji mpya wa kisima cha mafuta kuhakikisha anaweka miundombinu ya gesi asilia yani CNG Vinginevyo hatopatiwa leseni” hayo yamesemwa na Waziri wa muungano na Mazingira. Selemani Jaffo

Bei (gharama) za ufungaji
A;
~ Milioni 2.5 kwa mtungi wa kilo 15
~ Milioni 1.9 Kwa mtungi wa kilo 11
~ Milioni 1.8 kwa mtungi wa kilo 9

B;
Pia kuna kufunga kwa mkopo wa Maendeleo Bank ambapo wao wanakulipia kila kitu na gharama zote na mteja anatakiwa kupeleka Tsh. elfu 50 kila week hadi anamaliza deni lake.

Kumbuka, hii system ukifunga inakuwa ni ya kwako hivo ukiuza gari unaweza ukaitoa na kufunga kwenye gari lingine utakalo nunua.

Location: Tunapatikana NIT Mabibo
[emoji338] Namba: 0683477676
WhatsApp: 0683477676
Ngoma ukienda nayo mkoani utapata wapi
 
Back
Top Bottom