monga farm
Member
- Jun 25, 2021
- 89
- 163
Usijaribu kwenye magari ya chini ni shida sana japo faida ni nyingi kuliko hasara lakn mimi niliuza langu la gesi sababu system ya umeme ilikuwa inasumbua sana halafu kupanda mlima na nguvu ya gari ilishuka ,buti space yote Ilijaa mtungiNasubiria hasara maana haka ka subaru nakathamini sana eti
Imeandikwa hapo kuna Warranty So chochote kimeleta changamoto unafika tu ofisini kwaoUsijaribu kwenye magari ya chini ni shida sana japo faida ni nyingi kuliko hasara lakn mimi niliuza langu la gesi sababu system ya umeme ilikuwa inasumbua sana halafu kupanda mlima na nguvu ya gari ilishuka ,buti space yote Ilijaa mtungi
kwani hayo mengine amewapigia simu.Wapigie simu namba zao zipo kwenye thread watakufahamisha zaidi
Kama huduma haijaaambaa Tanzania nzima na ziwepo gas fillings stations Haina maana kwa sababu Nchi sio Dar tu na huwezi kukaa na gari sehemu mojaNimekutana nayo mahali nimeona nishee (Copy&Paste),
Makadirio ya chini ya umbali kwa cc 1400s hadi 1500s
GAS KILO 1 NI SHILINGI 1590[emoji95][emoji95]
Kg 15 inatembea km 230
Kg 11 unatembea km 180
Kg 9 inatembea km 120
Huu umbali unatofautiana kulingana na cc za engine yako.
Ukifunga gas kwenye gari haimaanishi mfumo wa zamani wa mafuta unaondoka hapana!! Ila unakuwepo na ukiamua kuswitch unaswitch mwenyewe kwamba sasa nataka kutumia mafuta au sasa nataka kutumia gas.
Sisi tuna-iset gari iji switch automatically kwenda kwenye gas ikifika r.p.m ya 500. Tunafunga gas kwenye magari ya petroli kwa mkoa wa dar es Salaam TU kwa utaalamu wa hali ya juu unaofanywa na wahandisi wa magari wa NIT na kuifanya gari yako kutembea bila gharama kubwa za mafuta.
Pia ukifunga gas kwenye gari yako utaifanya engine yako kuishi maisha marefu zaidi kwa kuwa gas ni clean zaidi ya mafuta hivo inachomwa vizuri na inasaidia kutunza mazingira kwa sababu inafanya complete combustion.
WARRANTY MIEZI 6
“Kanuni mpya ndani ya sheria ya Mazingira inamtaka mwekezaji mpya wa kisima cha mafuta kuhakikisha anaweka miundombinu ya gesi asilia yani CNG Vinginevyo hatopatiwa leseni” hayo yamesemwa na Waziri wa muungano na Mazingira. Selemani Jaffo
Bei (gharama) za ufungaji
A;
~ Milioni 2.5 kwa mtungi wa kilo 15
~ Milioni 1.9 Kwa mtungi wa kilo 11
~ Milioni 1.8 kwa mtungi wa kilo 9
B;
Pia kuna kufunga kwa mkopo wa Maendeleo Bank ambapo wao wanakulipia kila kitu na gharama zote na mteja anatakiwa kupeleka Tsh. elfu 50 kila week hadi anamaliza deni lake.
Kumbuka, hii system ukifunga inakuwa ni ya kwako hivo ukiuza gari unaweza ukaitoa na kufunga kwenye gari lingine utakalo nunua.
Location: Tunapatikana NIT Mabibo
[emoji338] Namba: 0683477676
WhatsApp: 0683477676
installation cost 1.8m kwa IST ukija cc1890 2.5MHuaga mnasema faida tu je hasara zake Ni zipi
mkuu, Tz haina mitambo ya ku-compress/liquify gas na kuziweka kwenye mitungi, so zinatoka njeGas no ya kwetu na inatoka Mtwara kwa bomba mpaka Dar. Kwanini bei yake ni kubwa kiasi hicho?
Mpaka inakubaliwa na mamlaka husika za serikali ina maana wamefanyia utafiti wa kutosha sana Watanzania ebu tuache imani potofu na kuwaza negatives kila wakati na ndio maana ata wake zetu usipo wafundisha kuendesha gari anakwambia siku ukiumwa nani atakuemdesha sheethasara zake ni kwamba ukipata ajali,kwa mgongano mkubwa kuna uwezekano huo mtungi wa gas ukawa bomu moja matata sana na tukaja kuzoa majivu tu.
huwa na najiuliza mnafunga hiyo mitungi ya gas kwa ajili tu ya kupunguza gharama au mmetazama na usalama wa mtu anayetumia hayo magari?
maana haiingii akilini gari limetengenezwa liende kwa mafuta,wewe unaweka mfumo wa gas tu,vipi mtikisiko wa gas hauwezi kuleta shida?,je mmefanya tafiti za kutosha?,
nauliza kuhusu usalama sio gharama.
Haya,najua ninachokisema.Mpaka inakubaliwa na mamlaka husika za serikali ina maana wamefanyia utafiti wa kutosha sana Watanzania ebu tuache imani potofu na kuwaza negatives kila wakati na ndio maana ata wake zetu usipo wafundisha kuendesha gari anakwambia siku ukiumwa nani atakuemdesha sheet
Mimo natumia huo mfumo boss uko poa tuHaya,najua ninachokisema.
Ngoma ukienda nayo mkoani utapata wapiNimekutana nayo mahali nimeona nishee (Copy&Paste),
Makadirio ya chini ya umbali kwa cc 1400s hadi 1500s
GAS KILO 1 NI SHILINGI 1590[emoji95][emoji95]
Kg 15 inatembea km 230
Kg 11 unatembea km 180
Kg 9 inatembea km 120
Huu umbali unatofautiana kulingana na cc za engine yako.
Ukifunga gas kwenye gari haimaanishi mfumo wa zamani wa mafuta unaondoka hapana!! Ila unakuwepo na ukiamua kuswitch unaswitch mwenyewe kwamba sasa nataka kutumia mafuta au sasa nataka kutumia gas.
Sisi tuna-iset gari iji switch automatically kwenda kwenye gas ikifika r.p.m ya 500. Tunafunga gas kwenye magari ya petroli kwa mkoa wa dar es Salaam TU kwa utaalamu wa hali ya juu unaofanywa na wahandisi wa magari wa NIT na kuifanya gari yako kutembea bila gharama kubwa za mafuta.
Pia ukifunga gas kwenye gari yako utaifanya engine yako kuishi maisha marefu zaidi kwa kuwa gas ni clean zaidi ya mafuta hivo inachomwa vizuri na inasaidia kutunza mazingira kwa sababu inafanya complete combustion.
WARRANTY MIEZI 6
“Kanuni mpya ndani ya sheria ya Mazingira inamtaka mwekezaji mpya wa kisima cha mafuta kuhakikisha anaweka miundombinu ya gesi asilia yani CNG Vinginevyo hatopatiwa leseni” hayo yamesemwa na Waziri wa muungano na Mazingira. Selemani Jaffo
Bei (gharama) za ufungaji
A;
~ Milioni 2.5 kwa mtungi wa kilo 15
~ Milioni 1.9 Kwa mtungi wa kilo 11
~ Milioni 1.8 kwa mtungi wa kilo 9
B;
Pia kuna kufunga kwa mkopo wa Maendeleo Bank ambapo wao wanakulipia kila kitu na gharama zote na mteja anatakiwa kupeleka Tsh. elfu 50 kila week hadi anamaliza deni lake.
Kumbuka, hii system ukifunga inakuwa ni ya kwako hivo ukiuza gari unaweza ukaitoa na kufunga kwenye gari lingine utakalo nunua.
Location: Tunapatikana NIT Mabibo
[emoji338] Namba: 0683477676
WhatsApp: 0683477676
Kwenye mlimani😜😜😜Kuna jamaa kafunga kwenye gari yake anasema speed imepungua hasa kwenye mliman