Gesi ilivyoung’arisha Mkoa wa Mtwara

Haina haja ya picha kama umepita shule japo kidogo utakua unajua impact ya gas katika maendeleo ya nchi na eneo husika inakochimbwa sio kila kitu lazima uletewe picha ndo kanuni ya maeneo yenye miradi mikubwa ya uchimbaji lazima yapate mabadiliko!

Mwadui kwenye almasi kukoje?
 
Mwadui kwenye almasi kukoje?

Kwani unataka kutueleza kwamba hakuna kilichofanyika?Issue ya Mtwara inaelekea inakupa taabu endelea kusubiri utawaona wenzio wakiprosper ndo ushangae!Mtwara kumekuchanendeleeni kutumia fursa msiingize siasa za uswazi hapo!
 
Maisha yanaendelea, hiyo ndo the Impact of Oil and gas energy in Tanzanian economy particulary in Mtwara, Wananchi Fursa hizo kama kawa mpaka kieleweke!
 
Maisha yanaendelea, hiyo ndo the Impact of Oil and gas energy in Tanzanian economy particulary in Mtwara, Wananchi Fursa hizo kama kawa mpaka kieleweke!

Kwa sasa Mtwara pametulia na ile hali ya ukaidi dhidi ya Serikali juu ya rasilimali za ardhini imetoweka, wananchi wameelewa na naamini watanufaika na gesi hiyo kwa kupata ajira nyingi, mfano mzuri ni kiwanda cha Dangote ambacho kitaajiri Watanzania wengi.
 

Ulichoandika ni tofauti na nilichanika mimi, nina mashaka na IQ yako. Aliyekwambia mimi mvivu nani? Nimejitahidi kuwaelewesha watu kama nyie msojua nini maaana ya maendeleo mnaishia kudanganywa kila siku.
 
Ulichoandika ni tofauti na nilichanika mimi, nina mashaka na IQ yako. Aliyekwambia mimi mvivu nani? Nimejitahidi kuwaelewesha watu kama nyie msojua nini maaana ya maendeleo mnaishia kudanganywa kila siku.

Just simple logic,maendeleo ya eneo lolote lile hayatokea kama uyoga yanajengwa na wananchi wenyewe ambao wako tayari kuyafanya yatokee, to my understanding kama hutaki kuendelea huwezi kulazimishwa kuendelea ila nature ya maendeleo itakulazimisha wewe usiyetaka kuendelea kuchange life style yako , na kama ni mvivu cha moto utakiona!Mtwara sasa inapata expansion ambayo hapo awali haikuwepo and big thing kwa wananchi wa Mtwara ni kuendelea kutumia fursa za uwekezaji wa gesi kupata income! Kuliko kuendelea kuwa mbishi basi elewa na hili!
 
Wewe kijana ni muongo sana, kama majengo ni kama Kariakoo kajenge yako yaliyo kama Posta. We unaonekana class ulikuwa kilaza wala si bure
 
C Mkorofi maendeleo hayaji wala hayaoti kama uyoga,Yanaandaliwa,yanapangwa na yanajengwa usijifanye hujui tofauti kati ya hali iliyokuwepo kabla na mabadiliko yanayotokea sasa!kama bado hujajua unahitaji muda zaidi wa kujifunza go back to school ukatrace nchi zote zilizopata maendeleo ya kiuchumi kutokana na gesi zilianzaje!!!
 
kuuza ardhi nako ni dili? hapo kweli serikali imewaweza wenyeji, uzeni ardhi jamani wanamtwara!
 
Mtwara sasa ni bomba bwana, utaitaka, kila mtu sasa Ntwaaaaaaaaaaraaaaaaaaaaa!
 
Habari kama hii ingeenda na picha ingependeza zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…