Hongera EWURA kwa hili. Bado umeme sasa umeme tunanunua unit 370 kwa walaji tunaotumia zaidi ya UNIT 50!!Liangalieni na hili. MIHANI GAS sasa ndo kiboko ya ORXY,ushindani mzuri sana umesababisha mpaka ORXY wamefyata mkia.