Gesi imeshuka bei 52000 - 47000

Gesi imeshuka bei 52000 - 47000

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
699
Reaction score
179
Hongera EWURA kwa hili. Bado umeme sasa umeme tunanunua unit 370 kwa walaji tunaotumia zaidi ya UNIT 50!!Liangalieni na hili. MIHANI GAS sasa ndo kiboko ya ORXY,ushindani mzuri sana umesababisha mpaka ORXY wamefyata mkia.
 
Mbona habari yako haijitoshelezi kwa details za kutosha?
 
Hongera EWURA kwa hili. Bado umeme sasa umeme tunanunua unit 370 kwa walaji tunaotumia zaidi ya UNIT 50!!Liangalieni na hili. MIHANI GAS sasa ndo kiboko ya ORXY,ushindani mzuri sana umesababisha mpaka ORXY wamefyata mkia.
....LAKE GAS nao wanakuja
 
Back
Top Bottom