Wote wenye mtazamo wa kua gesi ibaki Mtwara wanahisi gesi itauzwa kwenye chupa. Maana wanapiga kelele kwenye swala la kitaalam bila kujua lolote.
Elimu inahitajika ya kuwaelimisha watu na makundi mbalimbali ktk kutambua maana ya rasilimali za Taifa
Swala si physically ibaki huko,ni kwamba iwafaidishe mkoa wa mtwara,kuanzia miundo mbinu mpaka huduma bora za afya kama zahanati na madaktari bingwa wa kutosha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.