Dotworld
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,035
- 3,776
.As you say lugha za kibiashara.
Kwangu nina kijimtambo, actually nilijenga kama kisima hivi cha juu, then nikaweka poly pipe as a feeder, na juu nikaweka simtank la 2000liters (liligeuzwa juu chini,chini juu as a gas collector; linapanda gas ikijaa) lililoconnectiwa na horse pipe ambayo inapeleka gas kwenye stove. For a starter, niliweka cowdung (ili kupata bacteria) na lots of water. Then nikaendelea kufeed hizo kitchen wastes.
It works very well, na nilikuwa napata mpaka 3 hrs of cooking, but you have to feed the moster with about 20 to 40 lts of maujiuji ya mabaki (you need to blend hayo mauchafu ili upate uji ambao hao bacteria watakula) hapo ndipo palipokuwa na kazi. Kwanza kwa familia yangu yenye watu wasio zidi 3 ambao wote ni wavivu wa kula, mabaki yalipatikana pale tunapotengeneza juice tu. siku zingine zote inabidi binti atafute kwa jirani au nichukue mabaki from the office. Hiyo kitu nilishindwa kuendelea nayo kwa muda; pia natumia gharama ya umeme kusaga mabaki ya chakula ili nisave anyway; with a bigger family au kama unamgahawa you need to have this.
Nitawatembelea ofisini kwao nione, but again a kilo of kitchen waste acha 3 kilos bado ni kubwa, na si kila siku mtakula viazi au ndizi, kuna siku za tambi, wali n.k, unless mpike chakula kingi ili mbakishe makombo!
Mkuu, Kaunga!
Thanx ... leo nimeelewa ....... hapo kwenye hiyo biashara ya kuomba mabaki ya chakula kwa jirani na kutembea maofisisni & mahotelini! .... nahi! ... labda kwa watu wenye familia kubwa.
Your post imekuwa ya msaada mkubwa kwangu as nilikuwa naijua hii kitu ila tatizo lilikuwa kwenye capacity!
.... thanx!
.