Pamoja na matumaini makubwa ya kupata gesi hapa nchini na kutokuwa na sera madhubuti kuhusu gesi, limeibuka tatizo jingine katika miradi ya gesi nchini. Visima vingi husalisha kiasi kidogo kwani mahitaji ni machache mno.
Tatizo hilo limekuja kufuatia hazina kubwa kuzidi kuvumbuliwa kila kukicha ilihali matumizi yake hapa nchini yakiwa kidogo.
Hii imetokana na serikali kushindwa kusambaza gesi hyo katika mikoa mingi hapa nchini. Sasa kumbe kuwa na gesi ni jambo moja na jinsi ya kuitumia ni kitendawili kingine.
Mchango wako nini tuifanyie gesi yetu tusijechekwa na walimwengu.
Chanzo: IPPMEDIA.
kwani toka wamegundu gasi inapatikana ni mda gani?Hoja nyingine na wachangiaje wengine utadhani hawana ubongo. Mlitegemea serikali ijenge kwanza miundombinu ya kusambaza gesi kabla ya kufahamu kuwa ipo, na ipo wapi na kiwango gani? Haiingii akilini hata kidogo kuanzisha uzi usioweza kujisimamia kama huu.
Kwani since wagundue mpaka leo n mda gani mkuu.?
Sijahi sikia mama hata mmoja anunuaye nguo za mtoto ilihali hata ujauzito hana. Sasa mlitegemea serikali ianze kujenga mabomba ya kusafirisha geni na kuisambaza majumbani pasipokuwa takwimu?
Nadhani ungeangalia tovuti ya Wizara husika na TPDC ili upate picha ya mipango iliyopo ya kupanua soko la matumizi ya gesi asili nchini. Moja ya miradi mikubwa ambayo imeanza kutekelezwa hivi sasa ni ujenzi wa bomba kubwa lenye kipenyo cha nchi 36 kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam. Karibu
kwani toka wamegundu gasi inapatikana ni mda gani?
Miradi kama hiui nayo inasababisha kuzidi kuturudisha nyuma kwa kuongeza gharama zisizo na msingi. Kwa nini kutilia mkazo kwenye ujenzi wa biomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar wakati tunaweza kuanza na kuzalisha umeme palepale Mtwara na kuusafirisha sehemu nyingine. Kama ni bomba la kuleta gesi Dar kwa ajili ya matumizi mengine ni mradi ambao ungetrekelezwa baadaye wakati huo tukiwa na uhakika kuwa gesi hiyo imeshaanza kutumika.Nadhani ungeangalia tovuti ya Wizara husika na TPDC ili upate picha ya mipango iliyopo ya kupanua soko la matumizi ya gesi asili nchini. Moja ya miradi mikubwa ambayo imeanza kutekelezwa hivi sasa ni ujenzi wa bomba kubwa lenye kipenyo cha nchi 36 kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam. Karibu
Hoja nyingine na wachangiaje wengine utadhani hawana ubongo. Mlitegemea serikali ijenge kwanza miundombinu ya kusambaza gesi kabla ya kufahamu kuwa ipo, na ipo wapi na kiwango gani? Haiingii akilini hata kidogo kuanzisha uzi usioweza kujisimamia kama huu.
Sijahi sikia mama hata mmoja anunuaye nguo za mtoto ilihali hata ujauzito hana. Sasa mlitegemea serikali ianze kujenga mabomba ya kusafirisha geni na kuisambaza majumbani pasipokuwa takwimu?
Hoja nyingine na wachangiaje wengine utadhani hawana ubongo. Mlitegemea serikali ijenge kwanza miundombinu ya kusambaza gesi kabla ya kufahamu kuwa ipo, na ipo wapi na kiwango gani? Haiingii akilini hata kidogo kuanzisha uzi usioweza kujisimamia kama huu.
Sijahi sikia mama hata mmoja anunuaye nguo za mtoto ilihali hata ujauzito hana. Sasa mlitegemea serikali ianze kujenga mabomba ya kusafirisha geni na kuisambaza majumbani pasipokuwa takwimu?
Nikuulize wewe kwanini leo tunajenga bomba la kipenjo cha 35 sasa na sio katika mradi uliopita ambao sasa ndio unaotumika kufua umeme hapa Dar? Uvumbuzi wa gesi umeendelea taratabu na sasa maeneo mengi zaidi yameendelea kugundulika kuwa na gesi na ndio ineyotengeneza mazingira ya kuwa na wigo mpana zaidi wa matumizi.
Kwanini mpaka leo tunatumia gesi ya Oryx kutoka Arabuni wakati gesi inapatikana nchini?
Tushazoea kibongo bongo, tukineemeshwa na kauli mbiu ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA!gesi yenyewe juu kama nini, halafu kila kitu dar tu! Wacha tuendelee kutumia mkaa