Gesi yakosa soko: Uzalishaji wazidi Matumizi

Gesi yakosa soko: Uzalishaji wazidi Matumizi

Nina imani kubwa sana na Prof Sospeter Muhongo! Watanzania tuachane na habari za udaku serikali kupitia wizara ya nishati na madini inakuja na sera mathubuti juu ya nishati ya gesi na mlengwa hasa akiwa ni mwananchi wa kawaida mimi na wewe.

Huyu mleta mada analeta habari nusunusu alizozipata kutoka vijiweni tusimsikilize! Kama yupo makini alete hiyo link tuisome kuliko kunyofoa kipande cha habari nzima na kuifanya habari inayojitegemea.
 
Hata mimi nilikuwa silijui hili, kumbe hii kitu inakuwa imported duh now i can relate why its damn expensive!

Ndio hivyo mkuu haitofautiani sana na fuel, ikipanda kwenye kwenye soko la dunia na gesi nayo hupanda. Sema hapa bongo wauza gesi huwa wanajaribu kuregulate prices ziweze kukaa muda mrefu kidogo bila kubadilika. Mara nyingi kwa Tanzania kubadilika kwa bei ya gesi roughly ni within 4 months kwenda mbele..
 
Bado haijakosa soko.. wewe hushangai kiasi cha magunia ya mkaa kinachoingia DSM kila siku!
Serikali inapaswa kutengeneza mipango ya matumizi ya gas kiasi kwamba kutumia mkaa iwe ni utajiri na si vinginevyo.
 
Bado haijakosa koso.. wewe hushangai kiasi cha magunia ya mkaa kinachoingia DSM kila siku!
Serikali inapaswa kutengeneza mipango ya matumizi ya gas kiasi kwamba kutumia mkaa iwe ni utajiri na si vinginevyo.
But gas inayotengenezwa Tanzania bado haijawa refined kwa matumizi ya majumbani. Pls. toa hoja ya kuishauri serikali iharakishe refining ili wananchi wapate ahueni ya kuninua imported gas! Tutumie malighafi yetu Jamani!
 
Inafaa kutumika majumbani bila kuwa-refined ila kwa kutumia mtandao wa mabomba hadi kwa watumiaji.. sasa changamoto ni mipango miji yetu sijui itakuwaje. Kama bado hujajenga hakikisha hutafuti kiwanja maeneo ya hovyo (un-surveyed) ili wakati utakapofika angalau uwe na uhakika wa kupitiwa na miundombinu hiyo.

Hivi sasa kuna nyumba kama sita hivi DSM zinatumia gas asilia kwa matumizi ya nyumbani..
 
uploadfromtaptalk1354193164542.jpg

Tusiwe wavivu wa kutafuta habari ni jambo jema kama tutaangalia ni kiasi gani kinazalishwa na kiasi gani kiko kwenye mzunguko wa matumizi utapata jibu kwamba uzalishaji ni mkubwa mpaka kuweza kuuza nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom