ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Nina imani kubwa sana na Prof Sospeter Muhongo! Watanzania tuachane na habari za udaku serikali kupitia wizara ya nishati na madini inakuja na sera mathubuti juu ya nishati ya gesi na mlengwa hasa akiwa ni mwananchi wa kawaida mimi na wewe.
Huyu mleta mada analeta habari nusunusu alizozipata kutoka vijiweni tusimsikilize! Kama yupo makini alete hiyo link tuisome kuliko kunyofoa kipande cha habari nzima na kuifanya habari inayojitegemea.
Huyu mleta mada analeta habari nusunusu alizozipata kutoka vijiweni tusimsikilize! Kama yupo makini alete hiyo link tuisome kuliko kunyofoa kipande cha habari nzima na kuifanya habari inayojitegemea.