Gesti unatumiaga jina gani?

Umeongea kuhusu wakerewe umenikimbusha zamani nilikuwa natumia jina la kijita nilikuwa naandika " Mzee Mjungu" halafu lilikuwa jina la mwenye gesti mpaka siku moja akaniita akaniambia kijana wangu acha hizo bana ipo siku mke wangu atakuja kukagua majina hapa halafu atajua ni mimi.


R.i.p Mzee Mjungu
Makombora Mukuyenge

Kutoka Ukerewe Kuelekea Moshi

Hapa nakuwa Swazilandi Uswahilini huko Chugastan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…