Get rich or die trying

mtaalamuna84

Member
Joined
Nov 22, 2016
Posts
66
Reaction score
53
Sasa nmepata kuelewa kwa nn 50 cent alisema get rich or die trying
Tangu nmekua nmeona visa vingi vya kufanya niione nafasi ya mwenye pesa na asiekua na pesa katika jamii
Mtu yoyote akisema tajiri na masikini ni sawa basi hakika nitakaa nae mbali sana
Tusikate tamaa wakuu hakuna aijuae kesho
 
mimi kila nikizidi kukua nazidi kuona kua pesa sio kitu cha thamani kama tunavyoaminishwa na hauhitaji pesa ili uwe na furaha,kila nikizidi kukua nazidi kuelewa na kujiondoa na attachment mbali mbali,sitaki katika dunia hii niwe attached na pesa au mali yoyote ilee..pesa ntazitafuta kwa juhudi zote lakini nikizipata au nikizikosa sitokosa furaha..
 
Mkuu kiukwel kwa dunia ya leo pesa ndo kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…