Get Together Party ya waliozaliwa MAY

Get Together Party ya waliozaliwa MAY

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habarini mabestito wangu wa ukweli

Niliwamisijeeeeeeeeeeeeeeeeee?

nimewatamani ile mbaya kwani miezi sasa imepita sijawatia machoni mwenzetu kwa ubize wa vishughuli na ivijimambo vya kona ya mtaa wa kisasa kuleee hata siwaaliki kwani nanyi mtashobokea bure kule family kuna kila embedodo.


Awali ya yote mabestito nimeona nitoe kaprogram ka mwaka huu hapa sijamshirikisha mtu bali nimependelea na nimevutiwa tuandae

PARTY YA KUFA MTU HIII ITAWAHUSU WALE WALIOZALIWA KUANZIA MWEZI MAY HADI SEPTEMBER MPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO


YAANI KUANZIA TAREHE 1 HADI 30 MAY TUTAKUWA NA PARTY NDOGO SANA SIJUI WENYEWE MLIOZALIWA MTASEMA IANGUKIE TAREHE IPI KATIKATI YA MWEZI MAY IKIWA TAREHE 15/5/2015 ITAKUWA POA SANA MWAONAJEEE MABESTITO


Na wale mliozaliwa miezi mingine msijisikie vibaya hatujawatenga bali nanyi karibuni sana siku hiyo kwani kutakuwa na burudani kiasi, kutakuwa na kulishana keki kwa wale member waliozaliwa MAY wote watakaotaka kujitambulisha maana usimfunge mtu mwingine hapendi kujulikana.

Na wale wa mkoani hasa mikoa ya karibu njoo Dar au nanyi mtaweka vikao namna ya kufanya get together party hukohuko mikoani na kutupa updates nini kinaendelea huko kwenu.

karibu kwa michango na ushauri tufanyaje katika party hii

Wasalaam

Lady

CC: Mtambuzi, Mentor, Paloma, sister, miss chagga, Viol, KakaKiiza, Heaven on Earth, Munkari, valentine, mshana, Asprin charminglady, Lady doctor, Passion Lady, Watu8, Richpol, amu, Madame B, Chachu Ombara, muuza ubuyu, Ntuzu, Mr Rocky, Tized Arushaone, Young Master, Joe Nyandigira, dikembe na wengine wote

KARIBUNI
 
Nitakuwa Dar kuanzia tarehe 6 May mtakuwa wapi?
 
ladyfurahia asante sana kwa mawazo yako, mawazo ni mazuri lakini sijui kama yatafanikiwa.Bora ingekuwa sherehe ya wanajf wote kuliko hii ya waliozaliwa May.

Binafsi nitakuwa na mke wangu miss chagga tarehe 12 May siku ya kuzaliwa kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Party teeena!!!...wakati kuna wamatumbi ndio wanatumia chance ka hizo kuandika historia za maisha yao...
ha ha watu wataziogopa party siku hizi .....lakini mkuu naamini watu watakuwa wengi zaidi maana baada ya zile stori members wengi watavuka kwenda ili labda wajue nani ndo nani na kuona kwamba walikuwa wanakosa mengi
 
tunaangalia wapi ni sehemu nzuiri ngoja niwashirikishe akina Mtambuzi waweze kuweka mipango hiyo kwani wao ni mwenyekiti wa shamrashamra hizi
Nitakuwa Dar kuanzia tarehe 6 May mtakuwa wapi?
 
Last edited by a moderator:
dady bhana hutaki party ya mwanao kutimiza malongo kadhaa huoni ndo naonesha nimekuwa na nimetoka home kwako najitaegemea haaaaa na tena siku hiyo nataka uninunulie pampers za kutosha
Party teeena!!!...wakati kuna wamatumbi ndio wanatumia chance ka hizo kuandika historia za maisha yao...
 
Back
Top Bottom