Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Usisahau bana ni muhimu sana my dia.
i wont kwakweli...........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau bana ni muhimu sana my dia.
Wazo zuri sana ladyfurahia lakini kwa bahati mbaya mimi nimezaliwa August.:sad:
Yaani kweli unamaanishaa umezaliwa kwa bahati mbayaa August kabisaa:what:
i wont kwakweli...........
ngoja waje
mkifanya hivyo itakuwa poa sana. Naomba unipe updates ya kitakachojiri.
Usijali nitakwambia yote
umekuwa cool sana sijui kwanini na kwenye cm hupatikani siku mkuu
Tunakumiss!!
Na hizi autobiography za lara 1 mhhh ladyfurahia tunaogopa tusije andikwa kwenye magazeti hayo aise ujikute ulimpenda ghafla 'Valentina' kesho yake ukajikuta uko kwenye autobiography
Tunaogopa japo tumezaliwa May
Na hizi autobiography za lara 1 mhhh ladyfurahia tunaogopa tusije andikwa kwenye magazeti hayo aise ujikute ulimpenda ghafla 'Valentina' kesho yake ukajikuta uko kwenye autobiography
Tunaogopa japo tumezaliwa May
Ha haaa wacha uoga bana lara 1 tunamziba mikono na kitita cha pesa anapiga kimya tu
lara 1 ndo mpango sasa hivi aise kufunga PM tuu hakuna kingine maana unaweza kwenda party ukajikuta kuna mtu kashakupenda PM zikaanza kumiminika mwishowe autobioghraphy iliyoenda shuleHahahahaaaaaaaa! Kwani kina kada walienda kwnye party? Si wamejikuta ndani ya Autobiography! Fratenity je na mi party yao ya siri? Nao ndani ya Autobiography! Wabeba boxi je? Hahahahaa! USITHUBUTU KUKUTWA NA AUTOBIOGRAPHY!!!!!!!! Kutoenda party sio suluhisho MAYBE KUFUNGA PM! :becky:
lara 1 ndo mpango sasa hivi aise kufunga PM tuu hakuna kingine maana unaweza kwenda party ukajikuta kuna mtu kashakupenda PM zikaanza kumiminika mwishowe autobioghraphy iliyoenda shule
Hahahahaaaaaaaa! Kwani kina kada walienda kwnye party? Si wamejikuta ndani ya Autobiography! Fratenity je na mi party yao ya siri? Nao ndani ya Autobiography! Wabeba boxi je? Hahahahaa! USITHUBUTU KUKUTWA NA AUTOBIOGRAPHY!!!!!!!! Kutoenda party sio suluhisho MAYBE KUFUNGA PM! :becky:
Dawa nikua NIGHT WALKER tu,nianze kuwala moja baada ya mwingine namie
we utakuwa wakula au wakuliwa?
Hahahahaaaaaaaa! Unaenda party PM unafunga, au unajitambulisha na ID ya mtumwingne, hususani wanaojificha ficha hawa. Ukiulizwa nani, mie Ritz, au Chama! Wanakujuaaaaaaaaaa? Chama atapataje mi PM.