Get Together Party ya waliozaliwa MAY

Get Together Party ya waliozaliwa MAY

Na hizi autobiography za lara 1 mhhh ladyfurahia tunaogopa tusije andikwa kwenye magazeti hayo aise ujikute ulimpenda ghafla 'Valentina' kesho yake ukajikuta uko kwenye autobiography
Tunaogopa japo tumezaliwa May

Ha haaa wacha uoga bana lara 1 tunamziba mikono na kitita cha pesa anapiga kimya tu

Hahahahaaaaaaaa! Kwani kina kada walienda kwnye party? Si wamejikuta ndani ya Autobiography! Fratenity je na mi party yao ya siri? Nao ndani ya Autobiography! Wabeba boxi je? Hahahahaa! USITHUBUTU KUKUTWA NA AUTOBIOGRAPHY!!!!!!!! Kutoenda party sio suluhisho MAYBE KUFUNGA PM! :becky:
 
lara 1 ndo mpango sasa hivi aise kufunga PM tuu hakuna kingine maana unaweza kwenda party ukajikuta kuna mtu kashakupenda PM zikaanza kumiminika mwishowe autobioghraphy iliyoenda shule
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaaaaaaa! Unaenda party PM unafunga, au unajitambulisha na ID ya mtumwingne, hususani wanaojificha ficha hawa. Ukiulizwa nani, mie Ritz, au Chama! Wanakujuaaaaaaaaaa? Chama atapataje mi PM.
 
Hahahahaaaaaaaa! Kwani kina kada walienda kwnye party? Si wamejikuta ndani ya Autobiography! Fratenity je na mi party yao ya siri? Nao ndani ya Autobiography! Wabeba boxi je? Hahahahaa! USITHUBUTU KUKUTWA NA AUTOBIOGRAPHY!!!!!!!! Kutoenda party sio suluhisho MAYBE KUFUNGA PM! :becky:

Ha haaa hakyamama kwa style hii ishu kuruka vihunzi. AUTOBIOGRAPHY kazua balaa
 
lara 1 hana tatizo tatizo utakapoanza kupokea PM sasa na mwishowe zinazaa mambo na mambo yanaenda kwa lara 1 ghafla umekuwa talk of the JF na autobiography ndefu page mia

Dawa nikua NIGHT WALKER tu,nianze kuwala moja baada ya mwingine namie
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaa! Unaenda party PM unafunga, au unajitambulisha na ID ya mtumwingne, hususani wanaojificha ficha hawa. Ukiulizwa nani, mie Ritz, au Chama! Wanakujuaaaaaaaaaa? Chama atapataje mi PM.

chonde chonde msije mkatumia ID za wake wa watu... .hapatatosha humu
 
Back
Top Bottom