Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,273
kwanini usimkontakti nguli mwenyewe?
...kwasababu kidizaini ananishtua kwenye pitch kuwa kuna man on - man on, ili nipige cross kwenda kwake naye atingishe neti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini usimkontakti nguli mwenyewe?
Point well taken and noted with many thanks
...kwasababu kidizaini ananishtua kwenye pitch kuwa kuna man on - man on, ili nipige cross kwenda kwake naye atingishe neti.
Mimi nina wasiwasi Nyamayao anamaswaiba kama ya yule Mrs Mta...,hebu tuende taratibu jamani,tumshauri tu mwenzetuhuyu nyamayao atagombanisha watu siku moja!
...kwasababu kidizaini ananishtua kwenye pitch kuwa kuna man on - man on, ili nipige cross kwenda kwake naye atingishe neti.
najua niko nje ya mstari....jamani iptl imewashwa ama ilikuwa politik language ya mkulu?
mkuu unatuharibia sisi hatuhusiki na siasa tafadhali rudi kundini we ar too young to die.
mkuu unatuharibia sisi hatuhusiki na siasa tafadhali rudi kundini we ar too young to die.
Kwani hujui uchaguzi unakaribia? Bado haijawashwa mgao kama kawa.
Na naambiwa Mtera maji yamejaa sijui jamaa wanatafuta ulaji wa uchaguzi.
Kwa hiyo unamtafuta invizibo ili awe refarii au aku back up? Au unamtafutia mtu gereza? I am thinking loudly.
mNAHARIBU JAMANI WAPI HUKU MNAAENDA?
samahani nilikosea mlango
Mpwa fidel anataka kutuhamishia kwenye allergy yetu - SIHASA.
tena choo cha kike cha wabibi😀Samahani wapwa niliingia choo cha kike.
Viwanda vya beer vitafungwa ndo wasi wasi si unajua siasa inakula kona kila sehemu?