Get tugedha ilifana na ilikuwa bomba

FIDEL80 Akipozi mbele ya pick up ya XSPN baada ya kufanikiwa kushuka kwa usalama kwenye tukutuku
 
FIDEL80 Akipozi mbele ya pick up ya XSPN baada ya kufanikiwa kushuka kwa usalama kwenye tukutuku

Mpwa nimecheka mpaka kila mtu ananishangaa Lol! Hatari sana wewe!
 
Nadondosha ya mwenyekitu wa kikao then tui discuss tuhitimishe thread.

Naruhusiwa?
 
Nadondosha ya mwenyekitu wa kikao then tui discuss tuhitimishe thread.

Naruhusiwa?

Weka vyombo ila usitoe komenti za kuchekesha kama ya fidel. Hapa ofisini wataniona nimekuwa krezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…