Get well soon AshaDii

Status
Not open for further replies.
There is so Much Missing.... So much Love in almost all the posts I have read.... Kuna nyingine zimenichekesha.... Sijacheka mda mrefu kwa kweli.... I needed it.... THANK U. I wish I could answer all the posts vile inavotakikana.... BUT I can not do that for I need Rest walau for a few days to come... and thus my inevitable absence.... Thanks for the Warm welcome. I will be looking forward to coming back asap. Niwatakie Mchana/Jioni Ama usiku Mwema..... Depending on the time zone mlizopo.

Pamoja Saana.

ADI.
 
Pamoja sana!...kuna haja ya kuweka source?...lol.


Wifi wifi wifi, wifi huyo wifi, wifi huyo wifi, wifi huyo....aaah we king'asti njoo umalizie kipande chako bana. Wote tunatakiwa kujipendekeza kwa wifi....
 
Nimefurahi sana kukuona tena ADii jamvini,....Babu is overwhelmed!!

Kutokuwepo kwako kumetugusa sana na ukizingatia kuwa umezidiwa na ugonjwa....

Mungu ni mkubwa...atakurejesha salama tuendelea kugaiana hizo karama alizotupatia kwa ajili ya utukufu wake!!

Get well soon mdogo wangu,

Babu DC!!
 

Pole sana Ashadii and welcome back. .
 
I, Me, Myself yaani mimi mwenyewe ODM... Yaani mimi huyuhuyu mimi..... Mimi....

Kwa mamlaka niliyo nayo, niliyopewa na kujipa mwenyewe kwa makusudi,

Yaani kwa furaha niliyo nayo moyoni....Yaani mimi, Yaani Natangaza na kutamka rasmi kuwa hii sredi sasa ako klozd............

Wale wapenzi wa uchakachuzi sasa wanaruhusiwa kuchakachua (Atakayechakachua kwa kuhusisha mambo ya mimba..... yaani be warned... Yaani nna pasiwedi ya MrusiR... mtarestishwa in piis bila warning)

Baada ya kusema hayo, sasa shem langu la ukweli hebu njoo hapa utuambie: Huo ujauzito uliokuwa unakusumbua ni kwanini uliamua kuupata mchana kweupe namna ile?

Eti? Ebo! Welcome back my only darling shem!!! I and we Missed you mpaka baaaaaasi!
 
nimefurahi kukuona tena bigy sisy! tunazidi kukuombea upone haraka mamie, tuendelee kulijenga taifa teule la Tz.
 

Lah Pole sana dear kumbe ulikuwa umelazwa kabisa ..lakini mungu ni mwema kama umeweza kuingia JF na kutupa Feedback juu ya afya yako
Thanks ,i wish you quick recovery ...
 
nimefurahi kukuona tena bigy sisy! tunazidi kukuombea upone haraka mamie, tuendelee kulijenga taifa teule la Tz.
Tangu jana nakuulizia hali yako umegoma kunijibu....

Subiri zamu yako ikifika utanitambua....
 
Tangu jana nakuulizia hali yako umegoma kunijibu....

Subiri zamu yako ikifika utanitambua....
me buherii wa afya babu yani viungo vyote viko shwariii babu, wewe je??
lolz! nimefurahi kweli kumuona big sisy hapo juu, mmh ako mimbered enhh?? embu tusibitishie babu!
 
me buherii wa afya babu yani viungo vyote viko shwariii babu, wewe je??
lolz! nimefurahi kweli kumuona big sisy hapo juu, mmh ako mimbered enhh?? embu tusibitishie babu!
Mie ODM niko salama, isipokuwa kiungo kimoja tu ndo chanipa tabu......... kina kiu sijapata ona!
 
Mie ODM niko salama, isipokuwa kiungo kimoja tu ndo chanipa tabu......... kina kiu sijapata ona!
uwiii! embu funguka babu, kipi icho?? afu juzi si ulikuwa kwa mwali.... kiu haikukwisha enh??
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…