Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani out of topic, wewe ni he or she? am just asking.Hi Fixed Point, Anaendelea vizuri. Mungu akipenda ataruhusiwa kurudi nyumbani leo hii. Thanks for your concern.
Hi Fixed Point, Anaendelea vizuri. Mungu akipenda ataruhusiwa kurudi nyumbani leo hii. Thanks for your concern.
Asante sana, maana nasikia kuna members humu huwa wanaflit kwenye Pm sasa mimi nakuja kivingine nataka kuflit na Super Moderator.I am a woman.
Nitafikisha salam. Thanks for you prayers Wiselady.
Please let's stick to the topic, kama kuchakachua at least iwe in a way that would make her smile when she reads it. What you say is not funny.Asante sana, maana nasikia kuna members humu huwa wanaflit kwenye Pm sasa mimi nakuja kivingine nataka kuflit na Super Moderator.
Hisia,.....Please let's stick to the topic, kama kuchakachua at least iwe in a way that would make her smile when she reads it. What you say is not funny.
Tunashukuru kwa taarifa. Msalimu sana, mwambie anamisiwa hukuHi Fixed Point, Anaendelea vizuri. Mungu akipenda ataruhusiwa kurudi nyumbani leo hii. Thanks for your concern.
Please let's stick to the topic, kama kuchakachua at least iwe in a way that would make her smile when she reads it. What you say is not funny.
:lol:hahahahaha, hii kali! I hope atatuletea habari nzuri upon her return.:mimba:Unajua kuna magonjwa mengine ya kheri.. huyu da Asha kama nakumbuka vizuri, aliwish mwaka huu aongoze mtoto mwingine. Usiku nimeota eti ni mjamzito lol..
Asante, pigana tu huko front, ukipewa permission utakuja kumuona. 😛oaCome onnn RR, mbona mkali hivyo? Wamekuonjesha sindano za mgonjwa?
Pole kwa kuuguza mwaya, nafanya mpango nije kukupokea hosp ila sijapata kumpatia hii binduki.
Haki ya nani tena yaani nimemuota hivyo usiku.. nikaamka nikaanza kucheka peke yangu! hebu ngoja nisubiri habari njema mie..:lol:hahahahaha, hii kali! I hope atatuletea habari nzuri upon her return.:mimba:
Thanks RR kwa hizi habari njema. Nifikishie salamu zangu, bado namwombea afya irudi kama zamani.Hi Fixed Point, Anaendelea vizuri. Mungu akipenda ataruhusiwa kurudi nyumbani leo hii. Thanks for your concern.
Nipe mimi hiyo binduki nikushikie.Come onnn RR, mbona mkali hivyo? Wamekuonjesha sindano za mgonjwa?
Pole kwa kuuguza mwaya, nafanya mpango nije kukupokea hosp ila sijapata kumpatia hii binduki.
Hi Alter,
I am sorry that you are not feeling well... I pray that you recover promptly.
Nimefurahi kujua unahudumiwa na madaktari despite mgomo (You are AshaDii! au vipi?)
I miss you jamvini na uraiani pia. Get well soon love.
![]()
Greetings….
I am humbled… More so Overwhelmed by the Greetings and well wishes. THANK U. Hii ni dhahiri kua I have two worlds I am officially part and proud of… That of JF and beyond JF. Namshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema naendelea vizuri kiasi na leo hii nilikua discharged mapema kabisa. Naamini kwamba Mungu yu Mwema…. Na naamini pia kua Dua na Maombi yenu in one way or another yamechangia mimi kufikia kujisikia nafuu kiasi hiki nilichopo na God willing nitazidi pata nafuu….. Hivo baaas ni my pleasure and obligation kutanguliza shukrani za dhati kwa dua, maombi na salamu zenu zoote ambazo kwa kweli naomba nikiri kua zimenigusa Mno! Mwenyezi Mungu atubariki soote. Ameen.
Abundant Love, Pamoja Saana.
AshaDii.
We agreed on that statement.It feels good to have you back, we missed you!
Amen mpendwa. Tunazidi kukuombea afya iwe njema zaidi..... Pole sana sana!Greetings.
I am humbled More so Overwhelmed by the Greetings and well wishes. THANK U. Hii ni dhahiri kua I have two worlds I am officially part and proud of That of JF and beyond JF. Namshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema naendelea vizuri kiasi na leo hii nilikua discharged mapema kabisa. Naamini kwamba Mungu yu Mwema. Na naamini pia kua Dua na Maombi yenu in one way or another yamechangia mimi kufikia kujisikia nafuu kiasi hiki nilichopo na God willing nitazidi pata nafuu.. Hivo baaas ni my pleasure and obligation kutanguliza shukrani za dhati kwa dua, maombi na salamu zenu zoote ambazo kwa kweli naomba nikiri kua zimenigusa Mno! Mwenyezi Mungu atubariki soote. Ameen.
Abundant Love, Pamoja Saana.
AshaDii.