Get well soon AshaDii

Get well soon AshaDii

Status
Not open for further replies.
ooohhh dear pole jamani mbona waugua now
sasa keeki yake ya valentine naruhusiwa kupeleka hospital
kwako shemeji
ruhusa tafadhali
She will be out by Valentine day, Inshallah!
We believe...
 
siwezi kumtakia mabaya binadamu mwenzangu, msipende kukimbilia kwenye hiyo conclusion (always).
Sijaconclude, nimeuliza. Maana the way uliuliza swali lako ni kama unasema kuna hali ya kupendelea members fulani over wengine.

Na nikitaka taarifa ziwafike pindi ninaumwa nafanyaje?
Get a friend in JF who cares for you. Ukiumwa atatupa taarifa (as members) na tutakutakia kupona. Mi sikuanzisha uzi huu kama mod, nimeuanzisha as a friend who cares.
 
Sijaconclude, nimeuliza. Maana the way uliuliza swali lako ni kama unasema kuna hali ya kupendelea members fulani over wengine.

Get a friend in JF who cares for you. Ukiumwa atatupa taarifa (as members) na tutakutakia kupona. Mi sikuanzisha uzi huu kama mod, nimeuanzisha as a friend who cares.

vitu vingne sio vya kujfnanisha. Nimetembea prof yake na sred zake nimeona. Yupo karb na mods. Ana wageni zaidi ya maelf. Anajal memba hata kama mgen na kakejeliwa kama mm. Na ukicharuko wang hu bado namkubal bila ubish! Cmfaham lkn nampenda.
 
mi mbona nikiumwa huwa hamnitakii kupona haraka? au hii ni kwa designated members tu?

Mkuu, are you serious with this question?? Acheni fikra hasi...as sio deal na hazifai kabisa! Umeugua na bado umekaa kimya, kwa ivo ulitegemea members waoteshwe kwamba unaumwa ili wakuanzishie thread?? Huna rafiki/marafiki wa kuwaambia weye? Unataka faraja then hutaki kuPM hata member mmoja, sasa kuna mantiki gani kuja kusingizia designated members ilhali wajikosesha mwenyewe?? Kama umeamua kuishi kigumu gumu, basi potezea hivo hivo kigumu gumu......waache wenye marafiki zao waendelee kupata good care!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom