Get well soon AshaDii

Status
Not open for further replies.
uwiii! embu funguka babu, kipi icho?? afu juzi si ulikuwa kwa mwali.... kiu haikukwisha enh??
Mwali ni mtaalam wa kupika wali wa nazi........ hivi wali wakatishaga kiu?
 
Ashukuriwe mungu kwa kukupa nafuu,
Tunafurahi kukuona tena our Big Sisy,
Tunakuombea mungu urejewe na nguvu na uzima wa kutosha kurudi kwenye majukumu yako ya kila siku,
We missed you!!
 
glad 2 know ur doin gr8t. pole sana & well com back pal!
 
Mie ODM niko salama, isipokuwa kiungo kimoja tu ndo chanipa tabu......... kina kiu sijapata ona!

hahahaaa ... babu una kha'tri sana ... hebu refer to uzi wa leo wa mtambuzi ... nacho pia ni kiungo cha futi 9??
 
Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema hasa kwa watu wema kama wewe!...Insha'Allah..kwa upendo wake utapona kabisa..
 
ODM, hata mimi mwenyewe utanipiga RIP kwa kutumia password yangu? :lol:
Thanks kwa kuruhusu rasmi uchakachuaji wa thread! let it beggin!
 
yah wali wakata kiu kama ulikuwa na kiu ya wali babu, enh kwan weye ulikuwa na kiu ya nn??
Kiu ya kiu, kwani we ako obsesd?

hahahaaa ... babu una kha'tri sana ... hebu refer to uzi wa leo wa mtambuzi ... nacho pia ni kiungo cha futi 9??
Duh! Futi tisa au inch 9? Futi tisa hata punda haoni ndani...
BTT....... kiungo ukimaanishacho ndicho nlichokisemea.... sasa waweza mfafanulia obsesd hapo juu?

ODM, hata mimi mwenyewe utanipiga RIP kwa kutumia password yangu? :lol:
Thanks kwa kuruhusu rasmi uchakachuaji wa thread! let it beggin!
Gadem.... Ruhusa ya super mod ni amri kwa ODM.

Kunzia sasa atakayempa getwell soon ADI, namhamishia maradhi kwenye baioloji yake.... Utamtakiaje mtu ambaye ameshapona bana! Na haya maradhi yalomletea za kuleta nayazika kaburi moja na ibilisi..... Nyambaf sana haya magonjwa... shenzy zake sana haya maradhi..
 
loh! babu kwani mimi sikukosoma ss, nilitaka tu unidadavulie ww lolz, sasa naona unamtumia third patry jaman mmh??
 
loh! babu kwani mimi sikukosoma ss, nilitaka tu unidadavulie ww lolz, sasa naona unamtumia third patry jaman mmh??

obby ... babu yuko busy na mgonjwa jamani ... naomba nikudadavulie .. lo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…