Get Well Soon Dena Amsi...

pole sn, get well soon.
Pole TF, teh teh teh.............
 
Hahahaha! Lol..wewe utakuwa umelezwa jana baada ya sie kutunguliwa 3...

Hahaha! umeona ehh?, niko na RR wodin hapa..

BTW Naruhusiwa kujitolea kumhudumia mgonjwa kwa ukaribu?, i mean kuwa naye wodin muda mwingi, najaribu ku imagine vikapu ka hvo vyaja vingap kwa siku, and am sure DA hawez kuvimaliza..lols!
 
Pole Dena.....upone haraka dear.......
 
Wapendwa wote nawashukuru but nimekatazwa kuwa na simu wala laptop nahitaji kupumzika kwa sana. Happy New Year to u all me penda wote sana.


Jamani! Haya magonjwa yanatatiza sasa!
MUNGU MWENYE MAMLAKA! Natumia nafasi hii kukushukuru maana yote haya ni mpenzi yako!

Na nitaenda kinyume tena kama ni mamlaka ya shetani,nasema hana nafasi kwa huyu ndg yetu kuwepo hapo,naondosha nguvu yote ya pepo wabaya nasema hamna mamlaka kwa jina Yesu Kirsto! Mwachie sasa,mwachie sasa ndg yetu awe huru, toka pepo toka,huna mamlaka kwa mji wa walio hai! Toka pepo,toka pepo na urudi kuzimu ndiyo makao yako! Kwa jina la Yesu Kirsto hauna Mamlaka kamwe! Shindwa pepo,shindwa pepo! Dena Amsi uko huru kwa uwezo MUNGU kupitia jina la mwanae Yesu Kirsto mwenye mamlaka Dunia na Mbinguni! Na uwe na wakati mzuri kwa Jina la Yesu Kirsto Bwana! Amen!
 
Mungu akuzidishie nafuu Dena A
 
Dena POle sana. Umekatazwa simu na laptop ili upumzishe akili sio!?. pole sana maisha ndivyo yalivyo. yatupasa kuwa wavumilivu. Vipi jamaa yako mood ilisharudi? au ndo bado anakupa mapresha? Mungu akutie nguvu. Mia
 
Pole sana Dena! mungu akujaalie neema zake upone haraka na urudie afya yako ya kawaida. tunakupenda sana!
 
Pole Dena. Tunamshukuru Mungu unaendelea vyema.

Happy New Year! Bwana akubariki na akupe afya njema kwa mwaka huu!
 
Wapendwa wote nawashukuru but nimekatazwa kuwa na simu wala laptop nahitaji kupumzika kwa sana. Happy New Year to u all me penda wote sana.

pole sana dena....and get well soon!!
 
Pole sana DA na Mungu akujalie nguvu ili tuwe pamoja kuliendeleza gurudumu la maendeleo kwa miaka hamsini ijayo ya uhuru wa Tanganyika
 
Wapendwa wote nawashukuru but nimekatazwa kuwa na simu wala laptop nahitaji kupumzika kwa sana. Happy New Year to u all me penda wote sana.

....aisee,....juzi (ijumaa) ulipotea ghafla kumbe ulikuwa waibia tu kuingia jf ee?
Ugua pole bana..
 
DA get well soon
Pole sana sana Dear. Mungu akujalie heri upone na kurejea kwenye majukumu yako.
 
Pole dada nguvu za bwana zivume utapona!
 
hivi TF in real life hivi vikapu unavitumia
au online it is easier and cheaper lol

we humjui TF? bahili ka nini,akijitahidi mgonjwa anampelekeaga kipande cha muhogo wa kuchoma tena kimeiva nusu eti anabania mkaa,lol!
By the way TF embu muulize shem wangu Dena hilo li presha limetokana na nini,isije ikawa wamefumaniana na Rejao kona maana nasikia Dena akiona mpua wa Rejao huwa anakufa anaoza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…